Ni ngumu kuelewa ila anafutwa na icc ni marekani na sio netanyau na huenda huu ukawa mtego wa putin. Kuisambaratusha nato

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato.

Ziko nchi tayali wameshaweka
Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc.

Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia hapa anaetafutwa ni marekani na mpka sasa chini ya kapeti tiyali kuna mgawanyiko miongoni mwa wanachama wa umoja huo Na mpka sasa Vikao haviishi kuna makundi wanamuunga marekani wengine hawanmuungi mkono na tetesi chini kwa chini kuna mkono wa putin kuhusu huu. Mgawanyiko
 
Acha Ujinga Israel siyo NATO makubaliano yalikuwa kwamba kutokana na Mzozo wa Mara kwa Mara wa Israel kwa baadhi ya nchi Ita escalate NATO kwenye migogoro mingi kwa Muda mfupi ! Kabla ya kuandika mambo muwe mnajiandaa kwa ujuzi na kujua mambo siyo unakurupuka kwamba Israel ni NATO

Britanicca
 
Hivi ilikuwa std gani mnapewa stori fulani halafu mnatakiwa ku-formulate title ya hiyo stori? Heading ya stori yako umekwama utaweza kweli kujadili arrest warranties za ICC against Israel na US? Hebu kuweni serious kabla ya kuanzisha nyuzi humu.
 
Tetesi zako zingekuwa hata na chanzo zingekuwa na tija!
Sema kwa baadhi ya nchi za NATO kuitambua Palestina na kuwa tayari kumkamata Netanyahu akiingia nchi zao pale Arrest Warant itakapotolewa na ICC imeiweka njia panda Marekani! Tayari hapo kuna mgawanyiko kitu ambacho pengine Putin atakuwa anachekelea!
Sioni kama Putin ana mkono wake huko!
 
Putin mwenyewe ana waranti ya kukamatwa sasa atafurahije kukamatwa kwa mwingine.
 
Acha Ujinga Israel siyo NATO makubaliano yalikuwa kwamba kutokana na Mzozo wa Mara kwa Mara wa Israel kwa baadhi ya nchi Ita escalate NATO kwenye migogoro mingi kwa Muda mfupi ! Kabla ya kuandika mambo muwe mnajiandaa kwa ujuzi na kujua mambo siyo unakurupuka kwamba Israel ni NATO

Britanicca
Hivi ulisoma mada au ulikimbilia kujibu tu 😄

Mtoa mada kasema nchi za Nato wako wanasupport PM wa Israel ashikwe as a war criminal yeye na waziri wake wa majeshi na wako wanapinga kama USA.

Wapi aliposema Israel ni Nato?
 
Putin mwenyewe ana waranti ya kukamatwa sasa atafurahije kukamatwa kwa mwingine.
Putini hasaidiwi na hizo nchi wataishia kuimba tu. Huyo Netanyahu yeye ndio kaukalia Europe walikuwa upande wake sa wameisha mgeuga.
 
Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato.

Ziko nchi tayali wameshaweka
Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc.

Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia hapa anaetafutwa ni marekani na mpka sasa chini ya kapeti tiyali kuna mgawanyiko miongoni mwa wanachama wa umoja huo Na mpka sasa Vikao haviishi kuna makundi wanamuunga marekani wengine hawanmuungi mkono na tetesi chini kwa chini kuna mkono wa putin kuhusu huu. Mgawanyiko
Hivi unajua US si mwanachama wa mahakama hii? Hizi ni speculations tu
 
Huyu putin alieshindwa isambaratisha ukraine aisambaratishe nato
 
Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato.

Ziko nchi tayali wameshaweka
Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc.

Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia hapa anaetafutwa ni marekani na mpka sasa chini ya kapeti tiyali kuna mgawanyiko miongoni mwa wanachama wa umoja huo Na mpka sasa Vikao haviishi kuna makundi wanamuunga marekani wengine hawanmuungi mkono na tetesi chini kwa chini kuna mkono wa putin kuhusu huu. Mgawanyiko

Umeshamaliza kuandika mkuu??
 
Back
Top Bottom