Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Hivi ulisoma mada au ulikimbilia kujibu tu 😄Acha Ujinga Israel siyo NATO makubaliano yalikuwa kwamba kutokana na Mzozo wa Mara kwa Mara wa Israel kwa baadhi ya nchi Ita escalate NATO kwenye migogoro mingi kwa Muda mfupi ! Kabla ya kuandika mambo muwe mnajiandaa kwa ujuzi na kujua mambo siyo unakurupuka kwamba Israel ni NATO
Britanicca
Putini hasaidiwi na hizo nchi wataishia kuimba tu. Huyo Netanyahu yeye ndio kaukalia Europe walikuwa upande wake sa wameisha mgeuga.Putin mwenyewe ana waranti ya kukamatwa sasa atafurahije kukamatwa kwa mwingine.
Hivi unajua US si mwanachama wa mahakama hii? Hizi ni speculations tuKama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato.
Ziko nchi tayali wameshaweka
Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc.
Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia hapa anaetafutwa ni marekani na mpka sasa chini ya kapeti tiyali kuna mgawanyiko miongoni mwa wanachama wa umoja huo Na mpka sasa Vikao haviishi kuna makundi wanamuunga marekani wengine hawanmuungi mkono na tetesi chini kwa chini kuna mkono wa putin kuhusu huu. Mgawanyiko
Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato.