K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Oct 13, 2025 #1 Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI! Huwezi kukalia upande mmoja maana amani inatokana na haki!. Kama mnataka amani tumieni nguvu hiyo hiyo kupigania haki
Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI! Huwezi kukalia upande mmoja maana amani inatokana na haki!. Kama mnataka amani tumieni nguvu hiyo hiyo kupigania haki
KisiwaChaJagwani JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 438 Reaction score 758 Oct 13, 2025 #2 Naunga Mkono Hoja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 14, 2025 #4 Muda utaongea... Cc: Mahondaw