bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Sensa safii, natumai baadhi yetu tumeshatembelewa na makarani wa sensa kwa ajili ya kuchukua details zetu na wengine tumeshiriki nao chakula cha mchana.
Twende kwenye mada husika kizazi changu hiki ni ngumu sana kumpata mchumba/mpenzi asiyetanguliza pesa mbele, unamtongoza mdada kwa nia nzuri kabisa ya kumfanya awe mke/mamayeyo wako wa badaye ila ghafla bin vuu anaanza kukupiga vizinga visivyoeleweka na unapata mdada anakazi yake nzuri tu na mshahara kakuzidi kwa gepu kubwa tu.
Unajiuliza maswali huu ni uchumba/urafiki tu nikiweka ndani huyu si ndio mpaka chumvi ya mia tano ikiisha ntasubiriwa hata kama ni saa nne usiku nije nitoe hela ya kununua mnaweza mkalala njaa kisa chumvi ya Shs 500 eti anakusubiri.
Sikatai kusaidiana kupo ila sio msaada unakua wa upande mmoja tu chake ni chake ila cha mwanaume nicha wote, wanashangaza sana, unajiuliza kanipenda mimi au kapenda pesa si bora angeniambia sikutaki tu.
Badilikeni wanaume nao wanamatumizi ya hizo pesa sio kwba wamekosa nazo kazi.