Ni ngumu sana kumpata mchumba/mpenzi asiyetanguliza pesa mbele kizazi hiki

Uchumba si unaanzia kwenye Uboyfriend siku hizi wengi wenu mnaharibu kwenye hatua za awali kabisa.
Tamaa zimewazidi sana hakuna mapenzi badala yake mnaangalia pale ntafaidika vipi
nipo kwenye ndoa na uzuri Mume wangu anajua napenda hela hata kama ninazo zangu ila hela yake ni tamu!!!!
 
Sensa safii, natumai baadhi yetu tumeshatembelewa na makarani wa sensa kwa ajili ya kuchukua details zetu na wengine tumeshiriki nao chakula cha mchana.

Twende kwenye mada husika kizazi changu hiki ni ngumu sana kumpata mchumba/mpenzi asiyetanguliza pesa mbele, unamtongoza mdada kwa nia nzuri kabisa ya kumfanya awe mke/mamayeyo wako wa badaye ila ghafla bin vuu anaanza kukupiga vizinga visivyoeleweka na unapata mdada anakazi yake nzuri tu na mshahara kakuzidi kwa gepu kubwa tu.

Unajiuliza maswali huu ni uchumba/urafiki tu nikiweka ndani huyu si ndio mpaka chumvi ya mia tano ikiisha ntasubiriwa hata kama ni saa nne usiku nije nitoe hela ya kununua mnaweza mkalala njaa kisa chumvi ya Shs 500 eti anakusubiri.

Sikatai kusaidiana kupo ila sio msaada unakua wa upande mmoja tu chake ni chake ila cha mwanaume nicha wote, wanashangaza sana, unajiuliza kanipenda mimi au kapenda pesa si bora angeniambia sikutaki tu.

Badilikeni wanaume nao wanamatumizi ya hizo pesa sio kwba wamekosa nazo kazi.

Sijasoma ila najua hutaki kutoa hela.

Ukifa huzikwi nazo TOA hela acha blabla.., au kama hutaki kuombwa usiombee mbaki hivo mpk muoane
 
Ndo maana mnapakuliwa mnaachwa hamna thamani wanaume tunaweza kukugharamia tulipita tunajufungia viooo. tayr ushakuwa used
Pole sana aisee, rekebisha hapo ni tunapakuana Mkuu.

kuachwa kitu gani kwani eiish wewe ukipita kuna wenzako wanaojua kutafuta hela na kutolalamika watakaa, mnalia Serum 80 huku mnataka babes zenu ziwe na ngozi nzuri, hudumieni!!
 
Kama mbovu mbovu tu hata upake nn mashauzi kibao... Then kitandani unageuza kama chapati unamwangiwa mashahawa mapozi kibao ya nn tulia pesa kawaida ,so jamaa mwingine akiwa na pesa we unaenda tu ?

Wenzio wako wapi ? Na ujinga na akili kama zako washafanya kinyune na maumbile wengine ndo ivyo wanazlishwa kama mabata .

Hata uolewe kama hujitambui hujitambui tu
 
Relax unapaniki sana mpaka unakosea kuandika, huu mchezo hauitaji hasira!

Hizi hasira zihamishie kwenye kutafuta hela utafika mbali.
 
Pesa ninazo sio tatizo wala usiwe na wasi maana naishi
 
Sensa safii, natumai baadhi yetu tumeshatembelewa na makarani wa sensa kwa ajili ya kuchukua details zetu na wengine tumeshiriki nao chakula cha mchana.

Twende kwenye mada husika kizazi changu hiki ni ngumu sana kumpata mchumba/mpenzi asiyetanguliza pesa mbele, unamtongoza mdada kwa nia nzuri kabisa ya kumfanya awe mke/mamayeyo wako wa badaye ila ghafla bin vuu anaanza kukupiga vizinga visivyoeleweka na unapata mdada anakazi yake nzuri tu na mshahara kakuzidi kwa gepu kubwa tu.

Unajiuliza maswali huu ni uchumba/urafiki tu nikiweka ndani huyu si ndio mpaka chumvi ya mia tano ikiisha ntasubiriwa hata kama ni saa nne usiku nije nitoe hela ya kununua mnaweza mkalala njaa kisa chumvi ya Shs 500 eti anakusubiri.

Sikatai kusaidiana kupo ila sio msaada unakua wa upande mmoja tu chake ni chake ila cha mwanaume nicha wote, wanashangaza sana, unajiuliza kanipenda mimi au kapenda pesa si bora angeniambia sikutaki tu.

Badilikeni wanaume nao wanamatumizi ya hizo pesa sio kwba wamekosa nazo kazi.
Pesa sabuni ya roho mapenz bila pesa nishidaa kaka
 
Pesa ninazo sio tatizo wala usiwe na wasi maana naishi

Wenye hela hawana maneno kama wewe, hujaona walivyo comment huko juu?

wewe huna ndiyo maana unapaniki

[emoji23][emoji23][emoji23]Nakutania mwaya usije mind bure
 
Nikiwa sina pesa mwili wangu umeshakua automatic hata hauwazi mwanamke, hata mke wangu wanyumbani wala simsemeshi, najua litakalo tokea ....kama huna pesa mambo ya kuoa kwasasa achana nako labda kama watafuta stress

Wanaume mnaojua Majukumu yenu ndiyo nyie sasa, Mungu akabariki utafutaji wako[emoji1545][emoji1545]
 
nipo kwenye ndoa na uzuri Mume wangu anajua napenda hela hata kama ninazo zangu ila hela yake ni tamu!!!!

Hongera mama umepata mme wa kipekee shikilia hapo hapo
 
Sijasoma ila najua hutaki kutoa hela.

Ukifa huzikwi nazo TOA hela acha blabla.., au kama hutaki kuombwa usiombee mbaki hivo mpk muoane

Mama mzungu shida sio kuombwa hela kusaidiana kupo ila sio unitumie kama kitega uchumi hata mwezi wa kujuana ushaisha kunipiga vizinga na huku una kazi safi yenye mshahara mkubwa na perdiem za kumwaga.

Bora uniambie kaka sikutaki
 
Hongera mama umepata mme wa kipekee shikilia hapo hapo

Mkuu hakuna mwanamke asiependa hela hakuna!!!

hata kama unacho kidogo mpe mwenzio.

anyway tunachangamsha genge hapa usichukulie serious!!!
 
Wenye hela hawana maneno kama wewe, hujaona walivyo comment huko juu?

wewe huna ndiyo maana unapaniki

[emoji23][emoji23][emoji23]Nakutania mwaya usije mind bure
Wala sipo huko hata nisiwe na pesa sio tatizo hata niwe maskini coz ni Siri yangu wala ... Sijsema kwamba tajir Mimi maskini wa kutupa kabisa🤣🤣🤣sina hata mia
 
Mama mzungu shida sio kuombwa hela kusaidiana kupo ila sio unitumie kama kitega uchumi hata mwezi wa kujuana ushaisha kunipiga vizinga na huku una kazi safi yenye mshahara mkubwa na perdiem za kumwaga.

Bora uniambie kaka sikutaki

Kwaiyo kama hana kazi anaruhusiwa kuomba hela
 
Kusaidiana kupo mamamzungu ila isiwe too much unajua familia zetu za kiafrika ukipata pesa unawaza kuigawanya kwa watu karibia 20, wanawake wengine sometimes anakua kama anakukomoa tu.

Swali la kujiuliza before hajawa na wewe alikua anaishi vipi why mimi baada ya kuja ndio wazazi wawe wagonjwa, luku inakwisha, kodi ya nyumba inaisha, viatu vimetoboka...its unfair and be fair sometimes
 
[emoji3]
 
Back
Top Bottom