scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
mmewangu akiwa hana pesa hata mashine inafanya kazi kwa taabu,huwa nawashangaa watu et yaani hapa nimembebesha mtoto wa watu mimba sina hata hela ya kula,what?huna hela hamu ya mapenzi inatoka wapi?Nikiwa sina pesa mwili wangu umeshakua automatic hata hauwazi mwanamke, hata mke wangu wanyumbani wala simsemeshi, najua litakalo tokea ....kama huna pesa mambo ya kuoa kwasasa achana nako labda kama watafuta stress
na hapo ndo wanapokosea,we unakuta mtu maisha anayoishi yanazidi uwezo wake sasa bila vizinga ataishije,imagine serum tu 80 hujaweka nguo,hali wali maharage haogi sabuni ya jamaa,anakaa nyumba ya 200k per month na mengine alafu kipato ni 500k unafikiria nini?Shida siyo wanawake shida ni wewe unachagua maslay Quenn. Lazima mpunga ukutoke na miamala isome.
Unapiga watoto balaa,afu awe na mdomo😳😠😠😠Hakuna kitu kigumu kama kuwa na mwanaume asie na kipato unaweza kujikuta muda wote una hasira, mliumbwa mtuhudumie punguzeni kulalamika
Ndio inabd atongoze mwanamke wa type yake hao wapaka serum kuna wanaume wanaoweza kuwahimili muwaachena hapo ndo wanapokosea,we unakuta mtu maisha anayoishi yanazidi uwezo wake sasa bila vizinga ataishije,imagine serum tu 80 hujaweka nguo,hali wali maharage haogi sabuni ya jamaa,anakaa nyumba ya 200k per month na mengine alafu kipato ni 500k unafikiria nini?
Kwa kweli hapana🤣tena bora awe Mume unaweza mvumilia kidogo ila hivi viboyfriend kama hakina hela kiende tu.
😂😂😂Hakuna kitu kigumu kama kuwa na mwanaume asie na kipato unaweza kujikuta muda wote una hasira, mliumbwa mtuhudumie punguzeni kulalamika
Kuna demu mmoja mzuri hivi anapenda kuvaa mavazi ya kujisitiri, shape anayo ila si wa kuvaa zile nguo za kubana yeye,vitenge u sketi zile za kuachia kuna mwanagu mmoja Engineer yupo vizuri ila ni mtu ambaye yupo simple sana kimwonekano hata kimavazi ila financial yupo vizuri.
Basi si kamtokea yule binti, binti akampa namba ya simu ,kumpigia simu hata dk tano za kutambuana hazijaisha anasema ana shida ya 40000,nywele chafu, bundle limeisha na simu kioo kimepasuka.
Jamaa akapiga chini, basi yule demu akawa anamponda mwana ,ila siku anakuja kupata file la mwana alijiona bonge fala sana bada ya kujua status ya mwana.
Ficheni tamaa zenu hizo mwanzoni, mnawapoteza watu wa maana sababu ya tamaa zenu, mwana si kwamba alikuwa anashindwa kumpa hiyo hela ila kwake yy alimuona kama malaya na jamaa mwenyewe mstaarabu yule demu sasa hivi angekuwa anakula mema ya nchi.
Halafu unaweza ukakuta anapewa mimba na fala mmoja tu kisa ana gari,tena gari lenyewe la kuazima au mwana mjanja mjanja ,msanii.
hili nalo wakalitazameNdio inabd atongoze mwanamke wa type yake hao wapaka serum kuna wanaume wanaoweza kuwahimili muwaache
Kuna demu mmoja mzuri hivi anapenda kuvaa mavazi ya kujisitiri, shape anayo ila si wa kuvaa zile nguo za kubana yeye,vitenge u sketi zile za kuachia kuna mwanagu mmoja Engineer yupo vizuri ila ni mtu ambaye yupo simple sana kimwonekano hata kimavazi ila financial yupo vizuri.
Basi si kamtokea yule binti, binti akampa namba ya simu ,kumpigia simu hata dk tano za kutambuana hazijaisha anasema ana shida ya 40000,nywele chafu, bundle limeisha na simu kioo kimepasuka.
Jamaa akapiga chini, basi yule demu akawa anamponda mwana ,ila siku anakuja kupata file la mwana alijiona bonge fala sana bada ya kujua status ya mwana.
Ficheni tamaa zenu hizo mwanzoni, mnawapoteza watu wa maana sababu ya tamaa zenu, mwana si kwamba alikuwa anashindwa kumpa hiyo hela ila kwake yy alimuona kama malaya na jamaa mwenyewe mstaarabu yule demu sasa hivi angekuwa anakula mema ya nchi.
Halafu unaweza ukakuta anapewa mimba na fala mmoja tu kisa ana gari,tena gari lenyewe la kuazima au mwana mjanja mjanja ,msanii.
tena bora awe Mume unaweza mvumilia kidogo ila hivi viboyfriend kama hakina hela kiende tu.
Ila wengi mapenz ndo yamewafanya wawe sio watu wa kujal hali za watuLadha ya upendo na mapenzi inapungua sana, sababu ya mahusiano kuendekeza sana pesa.
tena bora awe Mume unaweza mvumilia kidogo ila hivi viboyfriend kama hakina hela kiende tu.
Hahahaha wahuni wakitaka kula tigo huwez jua wanapiga doggie styleSiwez kama nilivyoapa kutokuliwa tigo.
Money is not everythingMoney is everything
Nipo tayari kuvumilia hadi ndoa ila nikukute bikra!!!!Yaani ni kweli ni vigumu sawa kumpata MPENZI au boyfriend asietaka unyumba before marriage
Ukweli kabisa....hela hamna tulia tuu kwenye chama cha chaputaNikiwa sina pesa mwili wangu umeshakua automatic hata hauwazi mwanamke, hata mke wangu wanyumbani wala simsemeshi, najua litakalo tokea ....kama huna pesa mambo ya kuoa kwasasa achana nako labda kama watafuta stress