Ni ngumu sana kumpata Mwanamke kama Tulia Ackson. Ana uwezo mkubwa, anafaa kuwa Rais

Changamoto kubwa ya Tulia ni Uongee aidha kwa hoja au kwa Reference hapo ndipo wengi hushindwa kwa sababu wengi huzungumza vitu kama wapo vijiweni. Porojo.
Lile la covid 19 sikumbuki aliwahi kuongea kwa reference au hoja ipi.
 
Asubiri mpaka mwaka 2030 au 2035 kama wanavyosema wengine kwamba 2025 ndio miaka kumi ya vipindi viwili inaanzia hapo !!
 
Kwahiyo nawe unakubali Mhe Tulia agombee 2025 Au ???!
 
Mna mashindano na Lucas de Mwashambwa?

Lucas mwashambwa
 
ni bayana na ni ukweli usio na mawaa,
muMama Tulia Ackson anastahili hilo kwa wakati muafaka πŸ’
 
Sijasoma chochote nimekuja kucomment tu toka huko usingizini utajinyea
 
Watu wote wanajua hakushinda uchaguzi mbeya mjini
Wenye kumuogopa Mungu na kumwamini wanajua kuiba kura ni Dhuluma !!
Mwenye kuiba kura anamjaribu Mungu !
Maana tumeambiwa uongozi huwa unatoka kwa Mungu kupitia kwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu !!
Tujihadhari na adhabu za M/Mungu !πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…