Uchaguzi 2020 Ni ngumu sana kumwelewa Rais Magufuli. Alisema Urais ni kazi ngumu halafu inachapishwa fomu 1

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
2,887
Reaction score
5,687
Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:

1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama

2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.

Swali ni kwamba, kama kazi ya Urais ni mgumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?

Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?

Onesha ukisemacho kwa vitndo

IMG_20200621_110045.jpg
 
Hakuishia hapo, alisema "Kama ningejua urais ni kazi ngumu kiasi hiki, basi nisingechukua form ya kugombea urais".

Sema ni kawaida yake jiwe, kusahau anayoyasema na kutotimiza ahadi zake, Aliahidi;

1) Kuongeza mishahara walimu.

2) Kila mwalimu kupewa laptop.

3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.

4) Kupunguza kodi.

5) Kuongeza ajira kwa vijana.

E.t.c. . . . . .
 
Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:

1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.

Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?

Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?

Onesha ukisemacho kwa vitndo

Huyu mnafiki mwogopeni sana.
 
Umeandika Nini mkuu. Uliwaza kweli.
 
Huyo Mzee ni mnafiki namba moja hapa nchini.

Yeye ndiye anayeutaka Urais katika hali ya kufa na kupona na ni unafiki wa hali ya juu anaposema kuwa kazi ya Urais ni ngumu na kasukumiziwa!
 
Umemaliza kila kitu hivyo sitii neno!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Walimu kila Leo mnawakejeli Kama ualimu mgumu unamaslahi madogo acha .....vipi Magufuli ?

Wewe jamaa ulituaga humu na tukakutakia kila la heri kwa kuhamia kwenye jukwaa lako jipya la MMU! Ila umeamua urudi tena kimya kimya!

Karibu sana!! Ingawa ndiyo hivyo tena, mnao muelewa 'Mzee' kiukweli mko wachache sana! Hata huko chamani kun kundi kubwa tu la wanachama lisilo muelewa kabisa.
 
Hakuishia hapo, alisema "Kama ningejua urais ni kazi ngumu kiasi hiki, basi nisingechukua form ya kugombea urais".

Sema ni kawaida yake jiwe, kusahau anayoyasema na kutotimiza ahadi zake, Aliahidi;

1) Kuongeza mishahara walimu.

2) Kila mwalimu kupewa laptop.

3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.

4) Kupunguza kodi.

5) Kuongeza ajira kwa vijana.

E.t.c. . . . . .

1) Kuongeza mishahara walimu. (Hili sizani kama amewahi kuahidi popote)

2) Kila mwalimu kupewa laptop.(ninakumbuka ilikua utani katika kampeni zake na sio kama ahadi)

3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.(Amezidisha kiwango na kupeleka huduma za afya za uhakika kwakujenga vituo vya afya vyenye ubora mkubwa katika kila kata, fedha ambazo ukigawa kwa vijiji husika inapita kiwango hicho cha Milioni 50 katika kila kijiji)

4) Kupunguza kodi. (sina data kamili lakini amejitahidi sana kupunguza kodi kwa bidhaa za ndani ya nchi pamoja na kusimamia ukusanyaji wa kodi hizo)

5) Kuongeza ajira kwa vijana. (miradi mingi imeanzishwa na imeajiri vijana wengi sana ukiachilia mbali walioajiliwa serikalini moja kwa moja , kuna vijana wengi wanafanya kazi mbalimbali katika miradi hiyo)

kwa uelewa wangu ninafikiri Jammaa kajitahidi sana kutimiza ahadi zake hasa zilizoko kwenye ilani ya Chama chake.
 
Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:

1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.

Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?

Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?

Onesha ukisemacho kwa vitndo

Huwezi Kumuelewa hadi uwe mrengo wa kushoto
 
Hakuna kazi rahisi duniani. Hata kazi yako ya kukosoa kila jambo linalofanywa na Rais JPM ni kazi ngumu lakini huiachi!
 
Anaenda kuweka rekodi ya kuwa rais wa kwanza kuongoza muhula mmoja tz, pamoja na kuprint fomu moja bado haitamsaidia kwani kachero mbobezi kajipanga kisawasawa
 
1) Kuongeza mishahara walimu. (Hili sizani kama amewahi kuahidi popote)

2) Kila mwalimu kupewa laptop.(ninakumbuka ilikua utani katika kampeni zake na sio kama ahadi)

3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.(Amezidisha kiwango na kupeleka huduma za afya za uhakika kwakujenga vituo vya afya vyenye ubora mkubwa katika kila kata, fedha ambazo ukigawa kwa vijiji husika inapita kiwango hicho cha Milioni 50 katika kila kijiji)

4) Kupunguza kodi. (sina data kamili lakini amejitahidi sana kupunguza kodi kwa bidhaa za ndani ya nchi pamoja na kusimamia ukusanyaji wa kodi hizo)

5) Kuongeza ajira kwa vijana. (miradi mingi imeanzishwa na imeajiri vijana wengi sana ukiachilia mbali walioajiliwa serikalini moja kwa moja , kuna vijana wengi wanafanya kazi mbalimbali katika miradi hiyo)

kwa uelewa wangu ninafikiri Jammaa kajitahidi sana kutimiza ahadi zake hasa zilizoko kwenye ilani ya Chama chake.
HOVYOOO.
 
Back
Top Bottom