kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:
1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.
Swali ni kwamba, kama kazi ya Urais ni mgumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?
Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?
Onesha ukisemacho kwa vitndo