Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Watu wanajaribu kuwachonganisha walimu na Magu.....nchi hii inawatumishi wengi wanaolipwa sawa na walimu1) Kuongeza mishahara walimu. (Hili sizani kama amewahi kuahidi popote)
2) Kila mwalimu kupewa laptop.(ninakumbuka ilikua utani katika kampeni zake na sio kama ahadi)
3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.(Amezidisha kiwango na kupeleka huduma za afya za uhakika kwakujenga vituo vya afya vyenye ubora mkubwa katika kila kata, fedha ambazo ukigawa kwa vijiji husika inapita kiwango hicho cha Milioni 50 katika kila kijiji)
4) Kupunguza kodi. (sina data kamili lakini amejitahidi sana kupunguza kodi kwa bidhaa za ndani ya nchi pamoja na kusimamia ukusanyaji wa kodi hizo)
5) Kuongeza ajira kwa vijana. (miradi mingi imeanzishwa na imeajiri vijana wengi sana ukiachilia mbali walioajiliwa serikalini moja kwa moja , kuna vijana wengi wanafanya kazi mbalimbali katika miradi hiyo)
kwa uelewa wangu ninafikiri Jammaa kajitahidi sana kutimiza ahadi zake hasa zilizoko kwenye ilani ya Chama chake.
Ila kwa kuwa walimu Wana impact kweny ndo mnawachonganisha, huu ni upuuzi wa standard gauge