Uchaguzi 2020 Ni ngumu sana kumwelewa Rais Magufuli. Alisema Urais ni kazi ngumu halafu inachapishwa fomu 1

1) Kuongeza mishahara walimu. (Hili sizani kama amewahi kuahidi popote)

2) Kila mwalimu kupewa laptop.(ninakumbuka ilikua utani katika kampeni zake na sio kama ahadi)

3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.(Amezidisha kiwango na kupeleka huduma za afya za uhakika kwakujenga vituo vya afya vyenye ubora mkubwa katika kila kata, fedha ambazo ukigawa kwa vijiji husika inapita kiwango hicho cha Milioni 50 katika kila kijiji)

4) Kupunguza kodi. (sina data kamili lakini amejitahidi sana kupunguza kodi kwa bidhaa za ndani ya nchi pamoja na kusimamia ukusanyaji wa kodi hizo)

5) Kuongeza ajira kwa vijana. (miradi mingi imeanzishwa na imeajiri vijana wengi sana ukiachilia mbali walioajiliwa serikalini moja kwa moja , kuna vijana wengi wanafanya kazi mbalimbali katika miradi hiyo)

kwa uelewa wangu ninafikiri Jammaa kajitahidi sana kutimiza ahadi zake hasa zilizoko kwenye ilani ya Chama chake.
Watu wanajaribu kuwachonganisha walimu na Magu.....nchi hii inawatumishi wengi wanaolipwa sawa na walimu

Ila kwa kuwa walimu Wana impact kweny ndo mnawachonganisha, huu ni upuuzi wa standard gauge
 
Kulea na kutunza familia ni kazi ngumu sana lakini lini umetaka kumuachia mwenzio?kuna vitu siyo vya kuongea pasi kufikiri kwa kina
Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:

1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.

Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?

Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?

Onesha ukisemacho kwa vitndo

1) Kuongeza mishahara walimu. (Hili sizani kama amewahi kuahidi popote)

2) Kila mwalimu kupewa laptop.(ninakumbuka ilikua utani katika kampeni zake na sio kama ahadi)

3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.(Amezidisha kiwango na kupeleka huduma za afya za uhakika kwakujenga vituo vya afya vyenye ubora mkubwa katika kila kata, fedha ambazo ukigawa kwa vijiji husika inapita kiwango hicho cha Milioni 50 katika kila kijiji)

4) Kupunguza kodi. (sina data kamili lakini amejitahidi sana kupunguza kodi kwa bidhaa za ndani ya nchi pamoja na kusimamia ukusanyaji wa kodi hizo)

5) Kuongeza ajira kwa vijana. (miradi mingi imeanzishwa na imeajiri vijana wengi sana ukiachilia mbali walioajiliwa serikalini moja kwa moja , kuna vijana wengi wanafanya kazi mbalimbali katika miradi hiyo)

kwa uelewa wangu ninafikiri Jammaa kajitahidi sana kutimiza ahadi zake hasa zilizoko kwenye ilani ya Chama chake.
Kwa sifa hizi subiri uteuzi tu
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Rais ametekeleza ilani vizuri sana ,ametekeleza miradi mingi na yenye manufaa kwa wananchi walio wengi kama maji,umeme,barabara,vituo vya afya,zahanati,hospitali za wilaya,elimu bure,mikopo vyuoni inatolewa,na mengine mengi.
 
EbP1ydpX0AAzvxE.jpg
 
Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:

1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.

Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?

Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?

Onesha ukisemacho kwa vitndo

Anapenda kazi ngumu! Kazi kama ni ngumu na unaipenda, huwezi ukasimama na kuanza kusema ni rahisi, lazima utaipa tu hadhi yake inayostahili. Sijawahi kumsikia hata siku moja akisema kuwa haipendi!
 
Watu wanajaribu kuwachonganisha walimu na Magu.....nchi hii inawatumishi wengi wanaolipwa sawa na walimu

Ila kwa kuwa walimu Wana impact kweny ndo mnawachonganisha, huu ni upuuzi wa standard gauge
Kwa mtizamo wangu mimi, huwa naona haipo nchi yoyote hapa duniani ambayo inawalipa mshahara watu wenye profession hizi: walimu, matabibu na maaskari. Kwa hiyo naamini kuwa hata nchi tajiri kama Marekani, haina uwezo wa kuwalipa mshahara watu hawa. Kazi zao ni so valuable kiasi kwamba haziwezi zikalingana na malipo yoyote ya kibinadamu yanayoweza kufanywa hapa duniani. Kwa mfano, kwenye janga hili la Corona, umeona matabibu kazi yao ilivyo? Hawa watu watakuja kulipwa na Mungu siku ya mwisho, huyo pekee ndiyo anaweza kuwapa kitu kinachoitwa mshahara. Sisi hapa duniani tutaendelea kugawana nao posho kulingana na uwezo wa kifedha wa Serikali zetu. These people are as essential as breathing air!
 
Uraisi japo ni kazi ngumu lakini ndio kazi bora kuliko kazi nyingine.
Uraisi hausomewi bali unachaguliwa au unateuliwa au unarithishwa .
Ukiwa Raisi unakuwa Amiri Jeshi Mkuu
Ukiwa Raisi hulipi kodi kila kitu ni bure
Ukiwa Raisi hupangiwi kazi,bali unawapangia wengine.
Ukiwa Raisi una mamlaka ya kutoa RUKSA ya mtuhumiwa kunyongwa au kusamehewa.
Ukiwa Raisi haushitakiwi huko juu ya sheria hata ukivulunda namna gani.
Ukiwa Raisi kila tamko lako ni sheria.
URAISI NI PEPONI.
 
Ndugu yangu cool!!!

[/QUOTE]
 
Labda wew sisi wengine mbona tunaelewa.

Huku kwetu hata unapokaribishwa msosi unasema "shemeji wala usihangaike" ili hali njaa unayo, Shemeji akisisitiza kuleta msosi atashangaa na roho yake.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Rais ametekeleza ilani vizuri sana ,ametekeleza miradi mingi na yenye manufaa kwa wananchi walio wengi kama maji,umeme,barabara,vituo vya afya,zahanati,hospitali za wilaya,elimu bure,mikopo vyuoni inatolewa,na mengine mengi.
Hayo hata mie ningetejekeza kwa kutumia kodi za umna . hoja yangu ni kwamba angeruhusu apambanishwe na wengine wawili watatu chamani tuone yeye si kafanya hayo yote?
 
Kwahiyo Kama kazi ni ngumu ndo aache? Basi wangeacha walimu, wabeba zege, wakulima na hata wanajeshi.
Hapana waruhusu na wengine wagombee maana hiyo kazi si ya uteuzi.
Umemsikia Bulembo na Hon Kesy bungeni hadi anapatikana YESU live hapa duniani
 
Back
Top Bottom