Huyu mnafiki mwogopeni sana.Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:
1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.
Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?
Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?
Onesha ukisemacho kwa vitndo
Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:
1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.
Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?
Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?
Onesha ukisemacho kwa vitndo
Huyo Mzee ni mnafiki namba moja hapa nchini.Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:
1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.
Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?
Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?
Onesha ukisemacho kwa vitndo
Huyo Mzee ni mnafiki namba moja hapa nchini.
Yeye ndiye anayeutaka Urais katika hali ya kufa na kupona na ni unafiki wa hali ya juu anaposema kuwa kazi ya Urais ni ngumu na kasukumiziwa!
Tatizo sio kuacha.Kwaio Kama kazi ni ngumu ndo aache? Basi wangeacha walimu, wabeba zege, wakulima na hata wanajeshi.
Walimu kila Leo mnawakejeli Kama ualimu mgumu unamaslahi madogo acha .....vipi Magufuli ?
Hakuishia hapo, alisema "Kama ningejua urais ni kazi ngumu kiasi hiki, basi nisingechukua form ya kugombea urais".
Sema ni kawaida yake jiwe, kusahau anayoyasema na kutotimiza ahadi zake, Aliahidi;
1) Kuongeza mishahara walimu.
2) Kila mwalimu kupewa laptop.
3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.
4) Kupunguza kodi.
5) Kuongeza ajira kwa vijana.
E.t.c. . . . . .
Huwezi Kumuelewa hadi uwe mrengo wa kushotoZaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:
1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.
Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?
Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?
Onesha ukisemacho kwa vitndo
Hakuna kazi rahisi duniani. Hata kazi yako ya kukosoa kila jambo linalofanywa na Rais JPM ni kazi ngumu lakini huiachi!Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:
1. Membe kufukuzwa/ kusimamishwa uanachama
2. Mwenyekiti kajichapishia form moja tu ya kugombea nafasi ndani ya chama.
Swali ni kwamba, kama kazi ya urais ni ngumu kama anavyosema ni kwanini ujichapishie form moja?
Je, kwanini asiruhusu wnachama wengine kadhaa wajimwage kwenye kinyang'anyiro?
Onesha ukisemacho kwa vitndo
HOVYOOO.1) Kuongeza mishahara walimu. (Hili sizani kama amewahi kuahidi popote)
2) Kila mwalimu kupewa laptop.(ninakumbuka ilikua utani katika kampeni zake na sio kama ahadi)
3) Kila kijiji kuwapa Sh Mill 50.(Amezidisha kiwango na kupeleka huduma za afya za uhakika kwakujenga vituo vya afya vyenye ubora mkubwa katika kila kata, fedha ambazo ukigawa kwa vijiji husika inapita kiwango hicho cha Milioni 50 katika kila kijiji)
4) Kupunguza kodi. (sina data kamili lakini amejitahidi sana kupunguza kodi kwa bidhaa za ndani ya nchi pamoja na kusimamia ukusanyaji wa kodi hizo)
5) Kuongeza ajira kwa vijana. (miradi mingi imeanzishwa na imeajiri vijana wengi sana ukiachilia mbali walioajiliwa serikalini moja kwa moja , kuna vijana wengi wanafanya kazi mbalimbali katika miradi hiyo)
kwa uelewa wangu ninafikiri Jammaa kajitahidi sana kutimiza ahadi zake hasa zilizoko kwenye ilani ya Chama chake.