Ni ngumu sana kupata mwanamke full package

Mimi naomba unijibu swali hili moja tu in details bwana muhasibu.
Je binti yako ungependa awe mwanamke wa aina gani?
Asiwe
1. Malaya, mzinzi
2. Mlevi
2. Mshirikina au mpenda waganga.
3. Asiye na hofu ya MUNGU
4. Jeuri na kiburi
5. Mnyenyekevu
6. Mwenye kukosa bidii
7. Mwenye tamaa
Masuala ya kuumbika siwezi kumpangia muumbaji
8. Awe vuguvugu, sio mpole sana wala mkali sana
 
Kuna mtu kachukua mwanamke wa rafiki yake aliyezaa nae watoto 4 na kaweka ndani na jamaa aliyemzalisha mwanamke anapambana kumrudisha bila mafanikio miaka imepita sasa. Huyu si alitakiwa afe baada ya wiki?
Subiri muda wake bado. Imani yake ni kali kuzidi watu wa Utopolo wanaoamini watawafunga Masandawana [emoji23]
 
Pole sana mkuu
 
Endelea kutafuta taratibu mkuu, full package mbona zipo nyingi tu.
 
saivi ata mwenyewe 3/10 tembea nae mbele tafaddhalli vinginevyo utazeeka single magetoni 🐒
 
Full package labda utengeneze mgomba wako uoe, mkuu hakunaga mtu perfect hata wewe una mapungufu yako tafuta mwenye mapungufu unayoweza kuvumilia umuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…