Ni ngumu sana kupata mwanamke full package

Ni ngumu sana kupata mwanamke full package

Nilikuwa najipa moyo kwamba unaweza kupata mwanamke mwenye sifa angalau 80% ya vile vigezo muhimu vya kuwa mke bora. Nikasema kama wapo wanawake wazuri wa sura zenye mvuto, lakini kwa nini usipate mwenye mvuto akawa pia na tabia nzuri, mnyenyekevu, mtiifu, mwenye bidii nk? Nikaona ngoja niingie sokoni.

Wa kwanza
Huyu nilianza kwanza kuwa rafiki yake katika masomo tukichukua degree ya pili. Dogo hakuficha mapenzi yake kwangu. Mwanzo alikuwa mgumu kuwa na mimi faragha lakini baadae akalegeza shule ikaanza kuwa inafanyikia hostel kwangu. Akaniambia kila kitu kuhusu yeye, nikaamini huyu nitaoa. Kwanza mzuri, tako lipo, elimu ni masters.

Muda ni mwalimu mzuri. Kadri muda ulivyoenda nikagundua alikuwa na jeuri na mbabe. Yeye anasema tatizo ni kabila lake. Lakini ghafla mapenzi yakashuka zile simu za mara kwa mara zikakoma, akawa busy. Ukihoji majibu ni ya kiburi. Nilipochunguza nikagundua elimu, kazi na uzuri ndio vinampa kiburi. Nikampotezea. Baadae akaanza kujirudi, bahati mbaya akakuta nilishamtoa thamani kwa hiyo naishia kumla tu.

Wa pili
Huyu alikuwa mzuri wa sura, mpole, mcha Mungu. Nilikutana naye tukipeleka watoto shule, nikampa lift tukiwa tunarudi. Kipindi hicho nilikuwa single nikaona ngoja nitest nipate dada wa kuzugia. Huyu nilikula kimasihara bila kutongaza. Dada anajiweza, hana njaa, haombi hela. Anakununulia zawadi na hata mkitoka outing anaweza kukukataza kulipa. Anafanya biashara ya vipodozi na dry cleaners kadhaa. Ana mjengo mkali kuliko hata mimi na anasukuma Vanguard.

Muda ilivyoenda akafunguka kuhusu maisha yake. Alikuwa ni single maza tena mwenye watoto wawili. Yeye anasema mipango ya ndoa na mzazi mwenzie ilivunjika akiwa amelipwa mahali.

Wakati mimi nimeegesha tu, mwenzangu akawa serious sana. Mapenzi dhidi yangu yakazidi. Kila nikifiria kummwaga namuonea huruma. Kwa kweli dada ni innocent sana, hata nilipomfanyia investigations bado sijapata kiashiria hatari.
Lakini ndiyo hivyo ni single maza, tena wa watoto wawili. Mzazi mwezie anawasiliana kuhudumia watoto hasa ada na maendeleo ya watoto kwa ujumla.

Watatu
Huyu ni mwanamke wa kawaida. Maisha yake ni kuunga unga. Kipato chake hakizidi laki 2 kwa mwezi. Ameishia form four akala zero. Umri wake kidogo ulinitia moyo kwa sababu ni matured. Nikasema labda huyu asiye msomi anaweza kufaa akawa na wajibu wa kulea familia tu. Lakini daah, wakati wa mahusinao tu alikuwa tegemezi sana. Vibomu visivyokuwa na ukomo. Yule dada hana tofauti na omba omba. Kuna kipindi alikuja kwangu akakuta kiroba cha mchele akaomba nimgawie kidogo nimpe na maharage kama yapo. Anaweza kukuomba hela asubuhi ukamwambia huna, mchana wake anakuja tena kuomba hela.

Lakini mbali na hayo, kwa kweli ni fundi sana kitandani. Anapiga kazi hatari sana. Sijawahi kula demu mtamu kama yule. Hana choyo kabisa. Unaweza kutoka naye tu bila kuhitaji chochote, lakini atakuambia kwa hiyo leo hunipi dudu?

Niliona ni kama ndio silaha yake.
Kiufupi omba omba ilinishinda nikampotezea.

Wanne
Huyu ni binti smart, bright, mwalimu, muhaya mwenye sura ya kitutsi. Bado anajitafuta kimaisha. Huyu yupo serious sana na maisha. Hayupo romantic. Ukitukuta outing huwezi kudhani ni wapenzi. Japo yupo available sana kwangu, home kwake nafika muda wowote. Nikienda kumchukua kazini kwake haoni shida kunitambulisha.
Tatizo ninaloliona kwake ni kuwa serious sana na mwenye misimamo mikali. Hata stori zake mara nyingi anaongelea jinsi anavyowamudu mabosi wake kazini kwa sababu ya misimamo. Naona hizi ni dalili za feminist. Huyu mtu anaweza kuwa mtiifu kweli?!

My Take
Naona kumpata mwanamke full package ni kazi ngumu sana. Kwa hiyo ndugu zangu ukimpa tafadhali usimpoteze. Wenzio tunawahangaikia sana


Wanawake pia watasema hakuna mwanaume full package, kwani watasema wanaume wenye hela na wako safi wengi wao hawana muda wa ku enjoy na wanawake, wako busy na kutafuta mali na watasema wanaume maskini wao kutwa nzima baby, baby, baby na hawana kitu, hawana maisha ya kueleweka so hawafai kujenga maisha, so hakuna wanaume full package pia
 
Mwenye tako hana akili asiye na tako ana akili.😀

Mzuri hajatulia na jeuri. Asiye mzuri katulia hana jeuri.

Akikamilika vyote hapo juu kasha pigwa mtoto/watoto (cape)
Sema single mamas wakiwa wanakutegea kukusikilizia wanajua sana kukuigizia ngoja uingie mkenge sasa ndio utajua kwanini aliyemzalisha hakumuoa...
Akijichanganya tu kaisha
 
Mkuu watu wote kwenye mahusiano wanakosea na ikitokea umekosea omba msamaha, so hapa kwenye fulpakage ni kipengele kidogo manake wanawake wako wa aina tofauti tofauti na sijui wana evolve kadri siku zinavyozidi kwenda yan daah, sampuli zinazokuja saivi ndio zinachanganya kabisaaaa, muda mwingine inabid ucheke tu. As a man don’t ask if you are not told, don’t go if you are not invited na lastly kabisa don’t apologize for something you did not do. Dont be a SIMP, alot of women out there..
 
Mwanamke

asiwe mshirikina,
asiwe mwizi,
asiwe muuaji wa watoto,
asiwe mzinzi,
asiwe mkaidi ( awe mtiifu kwa yale mazuri utakayomuamrisha)

BASI UKIMPATA MUOE FASTA
 
Back
Top Bottom