Ni ngumu sana kupata mwanamke full package



Wanawake pia watasema hakuna mwanaume full package, kwani watasema wanaume wenye hela na wako safi wengi wao hawana muda wa ku enjoy na wanawake, wako busy na kutafuta mali na watasema wanaume maskini wao kutwa nzima baby, baby, baby na hawana kitu, hawana maisha ya kueleweka so hawafai kujenga maisha, so hakuna wanaume full package pia
 
Akijichanganya tu kaisha
 
Mkuu watu wote kwenye mahusiano wanakosea na ikitokea umekosea omba msamaha, so hapa kwenye fulpakage ni kipengele kidogo manake wanawake wako wa aina tofauti tofauti na sijui wana evolve kadri siku zinavyozidi kwenda yan daah, sampuli zinazokuja saivi ndio zinachanganya kabisaaaa, muda mwingine inabid ucheke tu. As a man don’t ask if you are not told, don’t go if you are not invited na lastly kabisa don’t apologize for something you did not do. Dont be a SIMP, alot of women out there..
 
Mwanamke

asiwe mshirikina,
asiwe mwizi,
asiwe muuaji wa watoto,
asiwe mzinzi,
asiwe mkaidi ( awe mtiifu kwa yale mazuri utakayomuamrisha)

BASI UKIMPATA MUOE FASTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…