Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Poleni na majukumu naomba nigusie machache kuhusu hili tukio la mtuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara wa madini kudaiwa kujinyonga akiwa mahabusu.
Mahabusu ni chumba au jengo kama bweni ambalo mara nyingi linakua na madirisha mawili kwa juu na mlango mmoja wa chuma mengine mbao kwa juu paaa linakua umbali ambao si rahisi mtu kuufikia na ni vigumu kupanda juu ya paa(darini)
Mahabusu nyingi huwa zimejaa watuhumiwa na pilika pilika yeyote inapotokea mahabusu humwambia kiongozi wao au mtuliza vurugu ambaye muda mwingu hua na filimbi kupuliza pale vurugu zinapotokea .
Nguo za kufanyia usafi(madekio) haya hukaa mlangon kwa nje na mengi ni makuukuu zinaweza vp kumnyonga mtu had kufa?
Unafunga vp hili dekio wapi juu ya paa? Unapanda vp? Je hili dekio halitanyofoka kutokana na uzito wa mtu?
Bado napata ukakasi sana kwenye hii taarifa tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini huenda!