Ni ngumu sana mtuhumiwa kujinyonga mahabusu au gerezani

Ni ngumu sana mtuhumiwa kujinyonga mahabusu au gerezani

Kwa Tanzania lolote linawezekana.

Kama imewezekana Luteni wa Jeshi (Luteni Wa MaKomandoo) kushawishi kwa kuwadanganya, kuwaandaa na kuwafadhili kwa pesa zake za mfukoni vijana waliokua chini yake jeshini ili wakafanye vitendo vya ugaidi bila wao kujua, halafu yupo huru na anatumika kama shahidi mchongo wa Jamhuri mahakamani kuwafunga hao hao aliowaandaa bila ya wao kujua.

Kama imewezekana Mwenyekiti Wa Usalama Wa Wilaya (DC Sabaaya) kutumia cheo chake kufanya matendo ya uhalifu kwa kutumia silaha za moto kufanya ujambazi katika wilaya yake, kuwa tapeli wananchi wake, kuwapiga, kutakatisha fedha.

Kipi kinashindikana?
 
ninazo taarifa toka kwa wadani wangu, iko hivi, huyu ambae (kajinyonga) ndie alikuwa na usahidi wa tukio zima la ile mauaji, na kaa angepelekwa mahakamani kila kitu, au ukweli mzima ungejulikana, sasa wakubwa pale wakaona isiwe tatizo, kauawa kwa njia ile sijaitaja hapa, na habari ikiwa kanjiyonga, jiulizeni bona postmortem yake hata hakuna jamaa wa familia aliruhusiwa kuwako, je mbona haraka haraka kapelekwa kwao kwa ajili ya mazishi??ß huyu afane baba yake alikuwa pia police, ukweli aliuawa, ndio ushahidi upotee, case closed, police tz ni wanyama wa ajabu
 
Back
Top Bottom