Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Takwimu haziwezi kuwa hivi halafu useme hakuna kitu/chuki,utakua mpuuzi
Hizi takwimu inawezakana kabisa zikawa sawa ila umeshajiuliza maswali yafuatayo;
1. Haya matamko yalikuwa yanazunguzia nini? Kulikuwa na issues gani hadi wakatoa hayo matamko?
2. Je matamko yao yalikuwa yanalenga kumuattack raisi au kuaddress issues zinazoendelea kwenye nchi/jamii?
3. Umejaribu kuchambua matamko ya TEC na kujua kuwa hayana mshiko? Hoja inajibiwa na hoja na sio kusema tu kuwa wanamuattack mtu na dini yake.
4. Je BAKWATA walishawahi kutoa matamko yoyote ya kukemea. Kama yapo pia fuatilia kujua kama yalikuwa na mashiko na yalifanyiwa kazi? Kama hawajawahi kutoa basi kuna shida kwenye hiyo taasisi maana matatizo yapo na yanaonekana kwenye kila uongozi, na kama walitoa basi nao tuwaseme kuwa wanaattack maraisi?

Naamini wewe ni msomi na una uelewa mkubwa wa mambo yanavyoenda tangu uongozi wa Mwalimu hadi sasa kwahiyo hebu weka matamko yao (TEC) kisha uchambue uone kama yana uongo wowote. Hapo ndio utakuja na hoja kuwa wanayatoa kwa mgongo wa udini.

Ukipata majibu ya hayo mambo ndio utajua kwanini TEC wanatoa matamko mengi kwa maraisi flani kuliko wengine.
 
NANI MWENYE CHUKI HAPA 👇👇👇
***************************************
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
‎“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
‎“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
‎“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
***************************************
 
Kama TEC wangekuwa hawajawahi kumsema na kumkosoa Magufuli mkristo na mkatoliki mwenzao basi at least ungekuwa na hoja.

Ila kwa kuwa TEC walimsema sana na kumkosoa Magufuli akiwa mkristo na mkatoliki mwenzao hoja yako inakosa mashiko.
.......mpaka baadhi ya maaskofu Uraia wao ukawa questioned mfano Askofu Niwemugizi wa Karagwe (kama sijakosea)

.......hata Askofu Zachary Kakobe wa Full Gospel Bible Fellowship Church (FGBFC) japo yeye sio Mkatoliki, Uraia wake ulikuwa questioned wakati wa Rais Magufuli Mkatoliki

........hawa kina Tlaatlaah na wapuuzi wenzao wa upande wa huko, hawana kumbukumbu, ni mambumbumbu, wanatetea wasichokijua SAWASAWA!

...... short and clear ni kuwa, Bi Chura Kiziwi a.k.a Iddi Amin Mama ni hakubaliki tu, hafai na hana uwezo hata wa 1% kuongoza Tanganyika. She's just there accidentally, by default
 
Dah!!hizo picha nafsi yangu imeumia sana sana

Hivi Allah atasamehe kweli walioua hao viumbe?labda mungu sio Mungu, kuna vijana wadogo hao umri wa wanangu aisee,,,
 
Huwa mkilipwa posho za kuleta huu usenge mtandao mnashindwa kuchuja nini mlete na kamasi gani mzibakize hukohuko.

Useless kabisa.
 
Dah!!hizo picha nafsi yangu imeumia sana sana

Hivi Allah atasamehe kweli walioua hao viumbe?labda mungu sio Mungu, kuna vijana wadogo hao umri wa wanangu aisee,,,
Yaani ni watoto wetu ndiyo wameuawa kikatili namna hiyo, halafu mtoa maagizo ya unyama huo bado anashindwa namna ya kuongea kwa busara anakuja na mipasho ya 'tumetumia nguvu inayostahili' na ya 'who are you?'.
 
Mtoa mada ni aina ya watu wanao paswa kupuuzwa na kuto pewa ushirikiano..

Pamoja na kina Lucas mwashambwa ni binadamu ambao Mimi Huwa fananisha na TOILET 🚽 hasa hasa TOILET PAPER 🗞️🗞️
 
Sasa nyie mmebakiza kujenga madrasa na kufira watoto mnataka ruzuku? Mna hospitali yoyote ya maana hapa Tanzania ? Zaidi ya kufira watoto na kujenga madrasat uswahilini.
 
👏👏👏
 
 
CCM is not political party,CCM is just a terrorist organization like alqaeeda, ISS,AL shabab, janjaweed or bokoharam
 
Takwimu haziwezi kuwa hivi halafu useme hakuna kitu/chuki,utakua mpuuzi
Kuna kitu, sikubaliani na wanaosema hakuna.
Sasa tutafute hicho kitu kwenye hoja za hayo matamko na majibu ya serikali.
Kama hayo matamko yamejibiwa kwa weledi na bado yakatolewa tena au serikali haikujibu?
Wakati mwingine tunawabebesha mizigo viongozi wa juu bure, changamoto zaweza kuwa watendaji wachache wa serikali wapuuzi tu (hawawezi kujibu hoja au kutenda kwa kutumia weledi na mantiki).
 
Takwimu haziwezi kuwa hivi halafu useme hakuna kitu/chuki,utakua mpuuzi
Kama hzi ndio takwimu zenyewe, basi tuendelee kuwafinyanga, na wakitaka liwake linawaka tu, sisi hatuna kinyongo, tuko tayari muda wowote
Na tumewaonyesha mfano D29, ni ndio itakuwa hivyo
 

Attachments

  • Screenshot_20251214-203647.jpg
    166.2 KB · Views: 19
Ni hoja dhaifu kujadili, mleta mada ulitakiwa kuchambua hoja za TEC zenye kuchochea udini, fujo, vurugu na uvunjifu wa amani.
Kwahiyo hapa hamna hoja ya kujadili ni upupu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…