Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Wewe ni mmbulu fala kuliko wote, jifunze kwa dokta slaa. Tukirudi kwenye mada viongozi wa TEC wanachuki na maovu, huwa hawachagui utawala Magufuli mwenyewe walimnyoosha alivyokuwa anaua watu kibiti, pia Lissu kupigwa risasi Dodoma na TEC iliongea, tofauti na masheikh wetu TEC wenyewe huwa hawataji ukristu wala uislam kwenye hoja zao nadhani hii pia, inachangiwa na ukweli kwamba baraza limeundwa na madokta wengi wadarasani sio wa heshima.

Hoja za TEC ni hizi:
1. Mauaji ya watu wasio na hatia bila kujali dini, itikadi za kisiasa, wala ukanda hamna aliokiri wanataka maridhiano bila kukiri. Ukweli kwamba waliouawa wengi walifuatwa majumbani kwao hawakuwa waandamanaji. Hili swala tusilichukulie juu juu, hii inaweza kumtokea mtu yeyote hata mimi au wewe isipokuwa viongozi, ambao huwa wanapeana taarifa wakajifiche hotelini.

2. Utawala wa sheria: mtu anatibiwa kwanza kama kapigwa risasi kisha sheria ifate baada ya matibabu sio kuwapeleka mochuari moja kwa moja majeruhi, wasijichunguze wanaoshutumiwa na mauaji.

3. Msamaha wa kodi unaopata katoliki: Kaelezea ulianza kipindi Tanganyika inapata uhuru, Katoliki ilikuwa na mashule na hospitali nyingi kuliko serikali ndio wakaandikishana kupata msamaha wa kodi kwa sababu inasaidia majukumu ya serikali haijaanza leo, hamna hela kanisa linapata kutoka serikalini.
punguza mihemko na ujikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman.

Lakini pia acha porojo na hekaya za abunuasi kwenye mambo ya msingi :NoGodNo:
 
Kama TEC wangekuwa hawajawahi kumsema na kumkosoa Magufuli mkristo na mkatoliki mwenzao basi at least ungekuwa na hoja.

Ila kwa kuwa TEC walimsema sana na kumkosoa Magufuli akiwa mkristo na mkatoliki mwenzao hoja yako inakosa mashiko.
Yes uko sahihi kwamba TEC walimsema magufuli kwa kiasi fulani tena bila chuki.
Kulikoni viongozi hao wa TEC wanawasema viongozi wa sasa wa serikali kuu kwa chuki ya kiwango cha juu kiasi hiki hasa rais na katibu mkuu wa TEC?
unadhani chimbuko hasa ni nini juu ya chuki hizo dhidi ya viongozi wa serikali hasa waisilamu?:NoGodNo:
 
Yes uko sahihi kwamba TEC walimsema magufuli kwa kiasi fulani tena bila chuki.
Kulikoni viongozi hao wa TEC wanawasema viongozi wa sasa wa serikali kuu kwa chuki ya kiwango cha juu kiasi hiki hasa rais na katibu mkuu wa TEC?
unadhani chimbuko hasa ni nini juu ya chuki hizo dhidi ya viongozi wa serikali hasa waisilamu?:NoGodNo:
TEC hawajawahi msema mtu yeyote kwa chuki. Wao wanasema kweli na kweli tupu kwenye kutetea haki. Hawana longolongo.
 
View attachment 3515515
View attachment 3515514
Kama unaakili japo kidogo utabaini kuwa wanapinga mambo kama hayo hapo, wakati BAKWATA wanamramba miguu Mwendakuzimu Jiwe TEC ndiyo walikuwa wanaopambana naye.
The point is mashehe(sadly saying this) hawana akili, hizo juzuu peke yake bila ya kuifahamu dunia na kuifahamu mifumo kunawa-limit uwezo wa kuchanganua mambo jambo ambako linapelekea kuwalisha matango-pori waumini wao. Mtu akipinga mienendo fulani just deal with the topic at hand ni si kukimbilia kuangalia imani yake. Kama unatetea utetee hoja si personality ndipo utakuwa kwenye kundi la wenye ufahamu. Ukishindwa kupambana na hoja unabaki ku-deal na watu walioleta hoja hiyo low intelligence through and through.
jikite kwenye hoja bila porojo na mapichapicha useless gentleman?

kwanini TEC INAELEKEZA CHUKI ZAIDI KWA VIONGOZI WA SERIKALI KUU HASA WAISILAMU?

huna haja ya kuleta porojo za kutafuta public sympathy:NoGodNo:
 
Tukija kwako tukakuta unamlawiti mwanao na kukukemea tutakuwa tunachuki na wewe?
jikite kweny hoja gentleman,
Ukweli ni kwamba mafundi wa ulawiti na unyanaysaji wa kingono na ushirikina ni makasisi wa kikatoliki na watawa wakiongozwa na TEC, ni muhimu ukalifahamu hilo gentleman.:pulpTRAVOLTA:
 
Pamoja na akili hizi kisoda nilizo nazo, katika andiko lolote lilotolewa na TEC sijawahi kuona wakizungumzia maslahi ya wakatoliki au wakiristo mostly ni maneno kama matatu yamekuwa yakijirudia ambayo ni HAKI, AMANI, UWAJIBIKAJI

Mabaraza ya kidini yaache kupotosha jamii, waandike articles na wao za kusaidia kuikumbusha Serikali kutekeleza majukumu yake.

Dominika Njema

Location

Kigali, Rwanda
gentleman je,
haki ya kulawiti vijana wadogo na unyanayasaji wa kingono wa makasisi wa kikatoliki na ushirikina wa kuua na kunyofoa viungo vya maalbino ndio uwajibikaji wa TEC ili kuleta amani nchini right?:pulpTRAVOLTA:
 
Mada ya kipumbavu kabisa. Kuna hoja gani ya TEC iliyotolewa kuhusiana na dini ya kiongozi? Hivi ni uislam ndiyo unaomfanya awateke na kuwaua watu?

Ni uislam ndio uliomfanya apore na kugawa kwa waarabu mali za asili za Tanganyika?

Ni uislam ndio unamfanya atengeneze tume bandia ya uchaguzi?

Ni uislam ndiyo unaomfanya atengeneze uchaguzi bandia?

Ni uislam ndiyo umemfanya kuwa kiongozi muuji wa ajabu katika bara zima la Afrika?

Mwalimu nyerere aliwahi kusema kuwa mtu aliyefilisika kisiasa hupenda kujificha nyuma ya udini au ukabila. Yaani wewe ufanye uchafu na ushetani wa ajabu wa kuwaua binafamu wenzako, watu wakilalamika, unasema wanalalamika kwa sababu mimi ni muislam!! Loh! Wewe una akili au mwendawazimu?

Nawapongeza sana TEC, taasisi na hata watu mmoja mmoja, wote wanaoukemea ushetani unaoendelea nchini, ikiwa ni pamoja na ushetani wa kuteka na kuua watu, kudhulumu haki za watu, ikiwa ni pamoja na kutengeneza tume bandia za uchaguzi, sheria za hovyo za uchaguzi, chaguzi bandia, ufisadi, na maovu mengine yote.

TEC siku zote imekemea udhulumaji wa haki za watu bila ya kujali uovu huo unafanywa na nani. Walikemea wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli na hata katika utawala huu wa sasa, japo tawala zote zilizopita hazikuwahi kufanya uovu mkubwa wa kiwango cha kutisha kama ilivyo kwenye utawala huu uliowateka mamia ya watu, kuwaua maelfu ya watanganyika, kupora rasilimali za Tanganyika na kisha kuwagawia wageni, ufisadi wa kiwango cha kutisha, kutengeneza utawala wa kifamilia, na uchafu wa kila aina.
punguza porojo na mihemko gentleman,
chuki za TEC kwa viongozi wa serikali hasa waisilamu ni za wazi kabisa na wala huna haja ya kuhamisha magoli kizembe namna hiyo.

mimi nataka kujua tu,
nini chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu serikalini?:NoGodNo:
 
Kubaini kuna chuki au hapana no lazima kujadili hoja zinazotolewa na pande zote;
1. Viongozi wa TEC wanasema
tatizo lililopo ni nini?
2. Majibu ya serikali kuhusu tatizo hilo ni yapi?

Linganisha uone ni upande upi wenye hoja zenye akili ya kawaida, weledi na mantiki.
Pande zote zinatakiwa kuchuja yale mazuri yafanyiwe kazi kwa mustakabali mwema wa taifa.
Serikali ya Tanzania haina dini na taifa la lina dini nyingi tofauti.
TEC hawana hoja gentleman bali ni chuki binafsi tu kwa viongozi wa kiisilamu serikali hawana lingine.
Inamaana huoni au husikii wanavyoropoka mara kwa mara?
Imefikia mahali hata kuhubiri neno la Mungu nadhani wamesahau sasa:NoGodNo:
 
Yule kibaraka wa mbogamboga ameona haiwezekani kuishi bila jf akaamua nae avunje sheria za nchi kwa kuweka njia mbadala kuingia jf.

Halafu anatuletea hoja za kijinga hapa
JF ni platform huru ya kizalendo,
huana haja ya kukiuka sheria kuingia na kutumia platform hii muhimu ya kijamii, kama zilivyo platform nyingine makini za kijamii zinazofanya kazi humu nchini:pulpTRAVOLTA:
 
Chuki wanazo, ambazo zilipandikizwa kumwagiliwa na kuwekewa mbolea na uzao wa kwanza,vizazi vilivyofuata hasa wasomi Wana chuki kweli kweli
Maofisini, vyuoni wako sensitive na dini ya mtu
Chuki tu!
Lakini pili huwa ni kumchekecha na kumtisha kiongozi wa kiislam asiwabane kwenye maslahi
Mwinyi walimsakama, halafu waka-propose MoU, mwinyi kwa hofu akawapa 1992
Maana akiwa wa kwao hapo juu ni amri tu,mtu anayekusamehe dhambi sharti umuheshimu umsikilize, ndiyo unaweza kuta Kuwait fund walitoa hela kujenga barabara kusini,wakikaa wakajadili wataona huko ni kuendeleza waislam,hela zinapelekwa mwanza kujenga hospital ya kanisa
Utakuta wanaamua kutoendeleza zao la korosho,sababu zao Hilo lipo mikoa ya waislam hivyo utaendeleza waislam,ukute haya hujadiliwa ikulu wakiwemo wavaa magauni walevi, maana ikisemwa walikua na ofisi humo kabla jakaya hajawafurusha na kumchukia hadi kesho
uko sahihi,
yaana TEC wana hawana chuki na makasisi wao wanaowalawiti vijana wadogo, hawana chuki na makasisi wanawapiga mimba na kuwatelekeza watoto, hawana chuki na makasisi wanavunja ndoa za waamini wao kwa kuzini na wake za waamini wao, hawanachuki na watawa wa kikatoliki kutoa mimba wanazopigwa na makasisi, laikni pia hawana chuki kabisa na makasiasi wa kikatoliki washirikina wanaodiriki hata kushiriki mauaji ya maalbino n.k halafu eti wanajitia kimbelembele kuchukia viongozi wa kiisilamu serikalini.

Nadhani chuki zao hazitafua dafu na Tanzania itaendelea kuongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa chuki za TEC dhidi ya viongozi wa serikali hasa waisilamu.:pulpTRAVOLTA:
 
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.

Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.

Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?


Mungu Ibariki Tanzania.
Hisia tu mkuu, ila hakuna chiki
 
Viongozi wa TEC hawazai. Hawajali na hawana Cha kupoteza hata kama mkiunguza nchi.
wanajichua maisha yao yote right?

huenda hiyo ni chanzo cha chuki zao dhidi ya viongozi wa serikali hasa waisilamu right?:pulpTRAVOLTA:
 
😅😂😂😂 This is very petty point. Yaani unahoja za kitoto na zisizo na mashiko kabisa.

Bora mleta mada unaweza ukamsoma na kujua ana akili ila ameamua tuu kijitoa ufahamu sababu ya uchawa.

Ila wewe akili huna na hoja huna. Kiufupi ni chawa zero brain kabisa.
relax basi kama huna hoja gentleman, huna haja ya kuleta mihemko na porojo:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom