Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Hivi nyie chawa huwa mnaandika baada ya kufikiria au huwa mnafikiria baada ya kuandika? Anyway, maybe you’re all brainless like your fuckin’ host!
jikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman:MODS:
 
Hisia tu mkuu, ila hakuna chiki
Gentleman,
pale SAUT mwanza watu walikua wanahisi tu kwamba eti katibu mkuu wa TEC anapita na pisi zao wakadhani ni hisia tu, kumbe kweli bana jamaa alikua anawashughulikia kwelikweli na kuwapa alama za juu za ufaulu wa masomo but ilikua too late na kisha akahamia dar.

kwahiyo kuhisi sio jambo la kupuuzia pia:pulpTRAVOLTA:
 
Nakubalina na wewe, hisia ni hatua moja wapo ya kunaini kama kweli ama si kweli.. ila mkuu Duniani sio lazima tukabaliane mawazo na mitazamo ? Na hata tunapotofautiana haina haja ya kuundiana majanga
 
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.

Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.

Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?

Mungu Ibariki Tanzania.
Chuki yao ni kwamba kwanini wao TEC wapewe bilioni 400 kila mwaka kuendesha taasisi zao za kielimu na za kiafya wakati BAKWATA hawapewi huo mgao?
 
TEC hawajawahi msema mtu yeyote kwa chuki. Wao wanasema kweli na kweli tupu kwenye kutetea haki. Hawana longolongo.
walimsema wapi ukweli dhidi ya makasisi wanaolawiti watoto wadogo maeneo mbalimbali nchini, lakini pia walisema lini ukweli dhidi ya kasisi alieshiriki kuua na kunyofoa sehemu za mwili wa albino kwaajili ya ushirikina?

lini TEC walisema ukweli dhidi ya kasisi aliehonga hawara wake na kumpangishia nyumba na hatimae kupoteza mamilioni ya sadaka na zaka za waamini wa kanisa katoliki?:NoGodNo:
 
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.

Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.

Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?

Mungu Ibariki Tanzania.
'Divide and rule' watu tumeshaishtukia kitambo, Godbless Lema alishaongelea hili hivyo hakuna jipya...
 
Nakubalina na wewe, hisia ni hatua moja wapo ya kunaini kama kweli ama si kweli.. ila mkuu Duniani sio lazima tukabaliane mawazo na mitazamo ? Na hata tunapotofautiana haina haja ya kuundiana majanga
binafsi sna haja ya kukubaliana na mdau yeyote wa JF,
ila natamani kuongeza uelewa na ufahamu juu ya nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wa serikali kuu hasa waisilamu.

kumbuka,
mimi ni mkristo mkatoliki teana mbatizwa na ninaewapenda sana viongozi wangu wa kanisa, kwa kunipa masakramenti na kunifundisha vyema katekisimu na imani katoliki:NoGodNo:
 
Itakuwa wamechukuliana mademu
 
Chuki wanazo, ambazo zilipandikizwa kumwagiliwa na kuwekewa mbolea na uzao wa kwanza,vizazi vilivyofuata hasa wasomi Wana chuki kweli kweli
Maofisini, vyuoni wako sensitive na dini ya mtu
Chuki tu!
Lakini pili huwa ni kumchekecha na kumtisha kiongozi wa kiislam asiwabane kwenye maslahi
Mwinyi walimsakama, halafu waka-propose MoU, mwinyi kwa hofu akawapa 1992
Maana akiwa wa kwao hapo juu ni amri tu,mtu anayekusamehe dhambi sharti umuheshimu umsikilize, ndiyo unaweza kuta Kuwait fund walitoa hela kujenga barabara kusini,wakikaa wakajadili wataona huko ni kuendeleza waislam,hela zinapelekwa mwanza kujenga hospital ya kanisa
Utakuta wanaamua kutoendeleza zao la korosho,sababu zao Hilo lipo mikoa ya waislam hivyo utaendeleza waislam,ukute haya hujadiliwa ikulu wakiwemo wavaa magauni walevi, maana ikisemwa walikua na ofisi humo kabla jakaya hajawafurusha na kumchukia hadi kesho
🚮🚮🚮
 
Wewe ni mmbulu fala kuliko wote, jifunze kwa dokta slaa. Tukirudi kwenye mada viongozi wa TEC wanachuki na maovu, huwa hawachagui utawala Magufuli mwenyewe walimnyoosha alivyokuwa anaua watu kibiti, pia Lissu kupigwa risasi Dodoma na TEC iliongea, tofauti na masheikh wetu TEC wenyewe huwa hawataji ukristu wala uislam kwenye hoja zao nadhani hii pia, inachangiwa na ukweli kwamba baraza limeundwa na madokta wengi wadarasani sio wa heshima.

Hoja za TEC ni hizi:
1. Mauaji ya watu wasio na hatia bila kujali dini, itikadi za kisiasa, wala ukanda hamna aliokiri wanataka maridhiano bila kukiri. Ukweli kwamba waliouawa wengi walifuatwa majumbani kwao hawakuwa waandamanaji. Hili swala tusilichukulie juu juu, hii inaweza kumtokea mtu yeyote hata mimi au wewe isipokuwa viongozi, ambao huwa wanapeana taarifa wakajifiche hotelini.

2. Utawala wa sheria: mtu anatibiwa kwanza kama kapigwa risasi kisha sheria ifate baada ya matibabu sio kuwapeleka mochuari moja kwa moja majeruhi, wasijichunguze wanaoshutumiwa na mauaji.

3. Msamaha wa kodi unaopata katoliki: Kaelezea ulianza kipindi Tanganyika inapata uhuru, Katoliki ilikuwa na mashule na hospitali nyingi kuliko serikali ndio wakaandikishana kupata msamaha wa kodi kwa sababu inasaidia majukumu ya serikali haijaanza leo, hamna hela kanisa linapata kutoka serikalini.
Tlaatlaah
Hapa mbna umekimbia?
 
Nadhani ni simple, hizi ni dini mbili tofauti. Nilidhani dini hizi zinatambua uzuri na ubaya lakini kama zinatofautiana kwenye hilo basi tujue kuna dini inaamini kwenye ubaya na nyingine kwenye uzuri ndio maana zinatofautiana.
 
Back
Top Bottom