Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Ni muslim ila amewakataa wahuni🤣relax bas![]()
Ni muslim ila amewakataa wahuni🤣relax bas![]()
Dr Ahmed Albah-Shahwahoja yangu ni rahisi sana,
nataka kufahamu ni nini hasa kiini cha chuki za TEC dhidi ya viongozi wa serikali hasa waisilamu?![]()
A heap of crap!Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.
Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.
Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?
Mungu Ibariki Tanzania.
kama mtaalamu wa siasa,Dr Ahmed Albah-Shahwa
Alishakujibu kwanini nawe hukumjibu kwa hoja alizotoa?

Umenena ukweli mchungu kabisa.ni vizuri rais na katibu mkuu wa TEC wakafahamu kwamba,
Tanzania itaendelea kuongozwa kwa mujibu wa katiba ya nchi na sio kwa chuki za TEC![]()
This exposes your lack of intelligence, nimekuelezea exactly how the whole shit is sasa kana hauna upeo wa kuelewa then this topic is beyond your level.jikite kwenye hoja bila porojo na mapichapicha useless gentleman?
kwanini TEC INAELEKEZA CHUKI ZAIDI KWA VIONGOZI WA SERIKALI KUU HASA WAISILAMU?
huna haja ya kuleta porojo za kutafuta public sympathy![]()
kufira ni haki ya maksisi wa kanisa katoliki chini ya TEC, right?This exposes your lack of intelligence, nimekuelezea exactly how the whole shit is sasa kana hauna upeo wa kuelewa then this topic is beyond your level.
Hakuna chuki kwa kiongozi yoyote bali kuna kuzungumza yale yasiyo sawa katika utawala huu dhalimu
-Je watu hawatekwi?
-Je watu hawapotezwi?
-Je watu hawauawi?
-Je watu hawafirwi?
Kila anayepaza sauti kulalamikia yale yasiyo sawa yanamkuta majanga, watu waache kupaza sauti kwa kuwa ikulu imekaliwa na muislamu?
View attachment 3515893

Imbecile exposing yourself, nimekuwekea clip ya Samia na genge lake wanayoyafanya nawe uweke clip ya yale unayoyadai. Ikishindakaba(obviously mashehe ubwabwa mnawaza kukata watu na majambia tu na kwakuwa y'all can't deal with critical arguments.kufira ni haki ya maksisi wa kanisa katoliki chini ya TEC, right?
au makasisi kuua maalbino na kunyofoa viungo kwasababu za kishirikina ni sakramenti inayotolewa na TEC kwa makasisi wake?![]()
jieleze tu kwa maandishi gentleman hakuna haja ya maclip ya mchongo na porojo za patapotea?Imbecile exposing yourself, nimekuwekea clip ya Samia na genge lake wanayoyafanya nawe uweke clip ya yale unayoyadai. Ikishindakaba(obviously mashehe ubwabwa mnawaza kukata watu na majambia tu na kwakuwa y'all can't deal with critical arguments.
Haya yamezidi upeo wa uelewa wako, hebu jibu tu haya yaliyo simple na straightforward:
-Watu wasilalamikie utekaji kwa kuwa Samia ni muislamu?
-Watu wasilalamikie uuaji kwa kuwa Samia ni muislamu?
-Watu wasiulizie zilipofukiwa maiti za ndugu zao kwa kuwa Samia ni muislamu?

jikite kwenye hoja bila mihemko gentleman![]()
Hahahahaa waliokufa walikua wakristo pekee?Wanasema matamko yalikuwa machache kuliko kwa Samia na hii hoja Samia pia aliichukua na kuiongea mbele ya Wazee nongwa wa Darslam. Kwamba kwa wengine machache ila kwakwe mengi ( matamko 8 kwa miaka 4), Kwa hoja hii alihalarisha mauaji ya Oct29.
TEC wangetoa tamko moja asingeua. TEC kweli wamechochea kwa matamko yao kwa serikali hadi bimkubwa akakasirika na kutoa amri ya shoot to kill ili kuwakomoa TEC.
Wakatoliki wameawaachia serikali Ndanda High School ili watu wa dini zote wa Kusini wapate elimu.Chuki wanazo, ambazo zilipandikizwa kumwagiliwa na kuwekewa mbolea na uzao wa kwanza,vizazi vilivyofuata hasa wasomi Wana chuki kweli kweli
Maofisini, vyuoni wako sensitive na dini ya mtu
Chuki tu!
Lakini pili huwa ni kumchekecha na kumtisha kiongozi wa kiislam asiwabane kwenye maslahi
Mwinyi walimsakama, halafu waka-propose MoU, mwinyi kwa hofu akawapa 1992
Maana akiwa wa kwao hapo juu ni amri tu,mtu anayekusamehe dhambi sharti umuheshimu umsikilize, ndiyo unaweza kuta Kuwait fund walitoa hela kujenga barabara kusini,wakikaa wakajadili wataona huko ni kuendeleza waislam,hela zinapelekwa mwanza kujenga hospital ya kanisa
Utakuta wanaamua kutoendeleza zao la korosho,sababu zao Hilo lipo mikoa ya waislam hivyo utaendeleza waislam,ukute haya hujadiliwa ikulu wakiwemo wavaa magauni walevi, maana ikisemwa walikua na ofisi humo kabla jakaya hajawafurusha na kumchukia hadi kesho