Ni nini hasa kinasababisha waziri hata mwaka hajamaliza anatolewa?

Kwenye Wizara mwenye impact ni Katibu Mkuu. Huyo Waziri asipokuwa makini na kujitambua anakuwa mropokaji tu kama Paul Makonda.
 
Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria.

27/09/2026

Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati

Hii inaathari gani ?
In fact,
mabadiliko katika utumishi wa umma ni jambo la kawaida sana,

na mabadiliko hayo ya kimkakati, mara nyingi hulenga zaidi katika kuimarisha utendaji wa serikali na kuongeza ufanisi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo waTanzania wote.

athari kubwa daima huonekana baada ya muda, hususani kwenye maisha ya common wananchi 🐒
 
In fact,
mabadiliko katika utumishi wa umma ni jambo la kawaida sana,

na mabadiliko hayo ya kimkakati, mara nyingi hulenga zaidi katika kuimarisha utendaji wa serikali na kuongeza ufanisi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo waTanzania wote 🐒
Ahsante kwa mchango mzuri. Kwa miaka ya hivi karibuni panga pangua imekuwa kawaida. Tulizoea viongozi wakidumu muda mrefu. Ila hata mwaka makamu hajamaliza na viongozi wengine je ina afya? Au vetting ipo na shidaa???
 
Yes,
ina afya, tena sana tu,
kwasababu taifa letu lina nguvu kazi ya kutosha, yenye sifa na vigezo vyote tajika na kwahivyo, endapo ukipata fursa fulani ya kazi, ni vizuri kuifanya kwa weledi na bidii kubwa sana,

otherwise ukivurunda au kufanya business as usual, kama sio kuhamishwa kituo, basi utabanduliwa mazima kwenye nafasi yako bila mbambamba yoyote na chuma kingine kitapewa fursa hiyo na kuchukua nafasi yako bila tashwishwi yoyote gentleman 🐒
 
otherwise ukivurunda au kufanya business as usual, kama sio kuhamishwa kituo, basi utabanduliwa mazima kwenye nafasi yako bila mbambamba yoyote na chuma kingine kitapewa fursa hiyo na kuchukumtu a nafasi yako bila tashwishwi yoyote gentleman

Yes,
ina afya, tena sana tu,
kwasababu taifa letu lina nguvu kazi ya kutosha, yenye sifa na vigezo vyote tajika na kwahivyo, endapo ukipata fursa fulani ya kazi, ni vizuri kuifanya kwa weledi na bidii kubwa sana,

otherwise ukivurunda au kufanya business as usual, kama sio kuhamishwa kituo, basi utabanduliwa mazima kwenye nafasi yako bila mbambamba yoyote na chuma kingine kitapewa fursa hiyo na kuchukua nafasi yako bila tashwishwi yoyote gentleman 🐒
Ahsante kwa mawazo yako.. Kama mmoja kaharibu hapa unampeleka akaharibu na kwingine??
 
2021-2022 Prof. Kabudi
2022-2022 Simbachawene
2022-2025 Dkt. Dumbaro
2025-2026 Dkt. Homera
2026- Ulega

Mawaziri watano

Shida ni katiba mpyaaa ?
 
Ahsante kwa mawazo yako.. Kama mmoja kaharibu hapa unampeleka akaharibu na kwingine??

katika hali hiyo,
maana yake,
kuna mtu ana uwezo mkubwa na mzuri zaidi yake, ingawa nae huyo aliehamishiwa kwingineko sio mbaya, na kwamba hafai au hana uwezo, lahasha, it's just a matter of standards tu.

mtu akiharibu anabaduliwa mazima.Full stop.🐒
 
Yes,
ina afya, tena sana tu,
kwasababu taifa letu lina nguvu kazi ya kutosha, yenye sifa na vigezo vyote tajika na kwahivyo, endapo ukipata fursa fulani ya kazi, ni vizuri kuifanya kwa weledi na bidii kubwa sana,

otherwise ukivurunda au kufanya business as usual, kama sio kuhamishwa kituo, basi utabanduliwa mazima kwenye nafasi yako bila mbambamba yoyote na chuma kingine kitapewa fursa hiyo na kuchukua nafasi yako bila tashwishwi yoyote gentleman 🐒
We mshezi bado uko na cheo chako cha mkuu wa wasafisha vyoo vya ofisi za ccm?
 
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman,
mbona hoja iko wazi kabisa but unaamua kwa makusudi kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman?

try to be smart joh and watch your back 🐒
 
I always watch mine dumbass!,you too, watch yours,hali ni mbaaaya
 
Uzembe wako wa kutozingatia tahadhari ya dudu baba ya kuwatch your back ndio imelekea wewe kuwa na matendo ya kihanithi humu JF wewe 🦎
Ok.🐒
 
Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 8
Back
Top Bottom