Ni nini hasa kinasababisha waziri hata mwaka hajamaliza anatolewa?

Ni nini hasa kinasababisha waziri hata mwaka hajamaliza anatolewa?

We mshezi bado uko na cheo chako cha mkuu wa wasafisha vyoo vya ofisi za ccm?
Hii nimesikia mara kadhaa watu wanaongelea. Je mawaziri ni ceremonial ?? Kama sio watendaji kwanini tunawahitaji? Je Rais hana katibu ? Anaye Je Rais hana kazi? Rais akilega mambo hayaharibiki. Wanajukwaa
Kwenye Wizara mwenye impact ni Katibu Mkuu. Huyo Waziri asipokuwa makini na kujitambua anakuwa mropokaji tu kama Paul Makonda.
 
No security of tenure, mtu tu kwa utashi wake anakaa ikulu anaamua huyu awe hapa Leo na kesho awe pale, anafanya teuzi kwa kubahatisha
 
Je mawaziri ni ceremonial ?? Kama sio watendaji kwanini tunawahitaji?
Mawaziri ni policy bearer katika wizara ndio maana mara nyingi hata teuzi zao hazingatii professionalism.
Waziri hana bajeti japo yeye ndiye anayeomba kupitishwa kwa Bajeti bungeni
 
Anaye Je Rais hana kazi? Rais akilega mambo hayaharibiki. Wanajukwaa
Rais ni kama mbeba maono ya taifa. Wasaidizi wake wanatakiwa kuwa smart enough kuhakikisha maono ya nchi yanafanikiwa kila mmoja katika eneo lake.
 
Back
Top Bottom