Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
Wakuu namtumai hamjambo?
Twende kwenye mada.
Ng'ombe hapa nyumbani amezaa sasa kwa kuwa ilikuwa usiku hatukuwa na habari, asubuhi ndo tumekuja kuona kuwa amezaa, sasa kondo hatukuliona na baada ya daktari kuja na kulitafuta limekosa mwishowe akasema ng'ombe amekula hlo kondo...
Sasa tutarajie matatizo gani? Moja wapo nimesikia kukosa kwa maziwa, je ni kweli?
Na je tunawezaje kumsaidia na kutatua tatizo hili..
Natanguliza shukrani..