Nick Furry
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 180
- 180
Nimekuelewa...na nafahamu kazi ya Epsom salt....lakini kama daktar sidhan Kama Kuna haja ya kumpa ng'ombe kwa kesi ya placentophagy... actually placentophagy Ina faida zaidi kuliko hata effect (kwa tafiti zilizopo mpaka saivi)...placenta Ina iron.. Oxytocin...na micronutrients nyingi... placentophagy haina direct effect kwenye uzalishaji wa maziwa....Nadhana hukunielewa nilikua na maana gani kumshauri jamaa ampe huyo ng'ombe epsom salt [emoji116] hiyo ni kwaajili ya laxative na sivinginevyo. View attachment 2708978