Ni nini hutokea ng'ombe akila kondo lake la nyuma? Na tunawezaje kumsaidia ng'ombe aliyekula kondo lake?

Wakuu namtumai hamjambo?

Twende kwenye mada.

Ng'ombe hapa nyumbani amezaa sasa kwa kuwa ilikuwa usiku hatukuwa na habari, asubuhi ndo tumekuja kuona kuwa amezaa, sasa kondo hatukuliona na baada ya daktari kuja na kulitafuta limekosa mwishowe akasema ng'ombe amekula hlo kondo...

Sasa tutarajie matatizo gani? Moja wapo nimesikia kukosa kwa maziwa, je ni kweli?

Na je tunawezaje kumsaidia na kutatua tatizo hili..

Natanguliza shukrani..

Mmekuwa hapo na daktari, unakuja kuuliza jamii forum, kweli ukichaa is real, Huyo daktari aliyewaambia kalila, na nyie mkaridhia, hakuwa na maelezo zaidi ya Msaada?

Dawa ni kumchinja na kuuza Nyama.
 
Je, hakuna uwezekano wa wanyama wengine kuingia hapo zizini? Nimewahi shuhudia mbwa wakilibeba msobemsobe hilo kondo mara tu baada ya ng'ombe, kulishusha.
 
Placenta iko na progesterone hormone +Lt hormone so ikitoke ng'ombe, mbuzi, nguruwe, amekula kondo inaenda direct kuathiri kuzuia uzalishwaji wa prolactin+oxytocin hormone ambazo zinausika na utengenezwaji wa maziwa ndipo inapotokea mnyama anakata maziwa.
Safi imekaa kitaalam mkuu
 
Ipo hivi.
Kondo (placenta) limetengenezwa kwa kuzalishwa ( secreted) hormone mbili ambazo ni progesterone na leutinizing hormone( hormones za kutunza mimba).
Hizi hormone zinausika na kupunguza uzalishaji wa maziwa, kwamaana hiyo Ng'ombe atatumia lishe yake kutunza mimba, na ndio maana Ng'ombe baada ya kupata mimba Kuna wengine hukata maziwa kabisa wengine hupunguza kiasi Cha maziwa.

Ng'ombe anapokaribia kuzaa hizo hormone hupungua na kuanza kuzalisha oxytocin hormone ambayo ndio humsaidia kuzaa na kutoa maziwa.

Ikitokea baada ya kuzaa Ng'ombe Akala kondo atakula progesterone na leutinizing hormone so ataathiri ( hinder) uzalishaji wa oxytocin hormone na kusababisha kukata uzalishaji wa maziwa baada ya kuzaa.
Maelezo mazuri mkuu
Nafkiri hizi hormone ndo zipo vivyo hivyo kwa binadamu
I stand to be corrected!!
 
Je, hakuna uwezekano wa wanyama wengine kuingia hapo zizini? Nimewahi shuhudia mbwa wakilibeba msobemsobe hilo kondo mara tu baada ya ng'ombe, kulishusha.
Kuna fence mkuu... so haiwezekani...
 
Mmekuwa hapo na daktari, unakuja kuuliza jamii forum, kweli ukichaa is real, Huyo daktari aliyewaambia kalila, na nyie mkaridhia, hakuwa na maelezo zaidi ya Msaada?

Dawa ni kumchinja na kuuza Nyama.
Daktari mwngne ndo alisema tumpe chumvi fulani, sasa analitoa na maziwa yanapatikana japo kidogo kidogo..
 
Mkuu naomba kuuliza japo ni nje ya mada, nimewahi kusikia nje huko kuwa kuna dada alikula hiyo placenta yake kwahiyo na binadamu akila pia maziwa hukata?
Hiyo nilishuhudia kwa macho yangu USA kuna jamaa mke na mume walipopata mtoto wakala lile kondo la uzazi kwa imani zao.
 
Ipo hivi.
Kondo (placenta) limetengenezwa kwa kuzalishwa ( secreted) hormone mbili ambazo ni progesterone na leutinizing hormone( hormones za kutunza mimba).
Hizi hormone zinausika na kupunguza uzalishaji wa maziwa, kwamaana hiyo Ng'ombe atatumia lishe yake kutunza mimba, na ndio maana Ng'ombe baada ya kupata mimba Kuna wengine hukata maziwa kabisa wengine hupunguza kiasi Cha maziwa.

Ng'ombe anapokaribia kuzaa hizo hormone hupungua na kuanza kuzalisha oxytocin hormone ambayo ndio humsaidia kuzaa na kutoa maziwa.

Ikitokea baada ya kuzaa Ng'ombe Akala kondo atakula progesterone na leutinizing hormone so ataathiri ( hinder) uzalishaji wa oxytocin hormone na kusababisha kukata uzalishaji wa maziwa baada ya kuzaa.
Rx: I.v injection of Oxytocin or prolactin
 
Samahani uko kwa n'gombe hamna Lactating hormone?
 
Probability ya kukata maziwa ipo...japo ni kidogo...but kutumia Epsom salt kureverse effect ni hapana boss...na hata ukimwacha hawezi chukua muda mrefu Ili kuwa sawa...Rx: I.v injection of Oxytocin or prolactin
Nadhana hukunielewa nilikua na maana gani kumshauri jamaa ampe huyo ng'ombe epsom salt [emoji116] hiyo ni kwaajili ya laxative na sivinginevyo.
IMG_20230125_122129_681.jpg
 
Back
Top Bottom