Sorry kama na wewe ni vet au paravet au animal scientist coz huwa sipend kiwakosoa hawa watu..I respect them a lot..BUT U ARE WRONG SIR...toka mwanzo..umeanza na recommendation ya Epsom kwenye case ya placentophagy (which is not the problem at all) ukiwa na lengo la kusolve tatzo la kupungua kwa maziwa kunakosababishwa na placentophagy (which is also not true) even if tukiassume ni kweli uhusiano unatoka wapi hapo..Epsom for hormone problems..real?....kuwa serious kidogo basi....
Then ukaleta hoja ya placenta kuharibu micro organism kwenye rumen..sijajua ulitaka kurelay vipi na case ya kupungua kwa maziwa...but umelihamisha tatzo kutoka kwenye hormone mpaka kuwa digestion problem....then ukaleta case ya bloat....duuuuh...naona hata hueleweki...
Nadhan kabla ya kumshauri huyu mfugaji ungefanya japo research kidogo...