Sidhani km kuna shida hapo.Wakuu namtumai hamjambo?
Twende kwenye mada.
Ng'ombe hapa nyumbani amezaa sasa kwa kuwa ilikuwa usiku hatukuwa na habari, asubuhi ndo tumekuja kuona kuwa amezaa, sasa kondo hatukuliona na baada ya daktari kuja na kulitafuta limekosa mwishowe akasema ng'ombe amekula hlo kondo...
Sasa tutarajie matatizo gani? Moja wapo nimesikia kukosa kwa maziwa, je ni kweli?
Na je tunawezaje kumsaidia na kutatua tatizo hili..
Natanguliza shukrani..
Nini?????Tarajia kupata sentensi kutoka kwa daktari ya kwamba 'sasa nyg'omba tayari kameza kondo, amebakiza mtoto na maziwa' itakuwa santi ya kishujaa saaaana.
Okay...pia boresha lishe yake kwa kuchanganyaAhsante mkuu tulimpa chumvi na sasa kuna nafuu.. maziwa anatoa lita 3.
Actually ng'ombe akila placenta cha kwanza kabsa anakata maziwa hiyo ndio effect kubwa inayotoke.
So jinsi ya kumsaidia inabidi episom salt....
Ni fact kabsa mkuu...Hizo ni imani tu,hakuna uhusiano
Mkuu ebu elezea kwa lugha rahisi nini hutokea na kwa nini chumviActually ng'ombe akila placenta cha kwanza kabsa anakata maziwa hiyo ndio effect kubwa inayotoke.
So jinsi ya kumsaidia inabidi episom salt....
Ni fact kabsa mkuu...
Hii episom salt ni magnesium salt hii inasafisha utumbo kuondoa takataka za aina zote ikiwemo kondo ili placenta isije ikaharibu micro-organism wanaopatikana kwenye rumen wanaosaidia katka digestionMkuu ebu elezea kwa lugha rahisi nini hutokea na kwa nini chumvi
Aksante!
Mkuu naomba kuuliza japo ni nje ya mada, nimewahi kusikia nje huko kuwa kuna dada alikula hiyo placenta yake kwahiyo na binadamu akila pia maziwa hukata?Actually ng'ombe akila placenta cha kwanza kabsa anakata maziwa hiyo ndio effect kubwa inayotoke.
So jinsi ya kumsaidia inabidi episom salt....