Najua uko apo SUA sio kila kitu utafundishwa darasani nenda beyond..Kwamba
Placenta isababishe microorganisms imbalance kwenye rumen...real?
...π§βπ»π§βπ»π§βπ»..hapana mkuu...SUA nimetoka kitambo sana....nadhan huu mwaka wa 5 nipo kwenye battle ground...(sio ofisini kwenye kiyoyozi)...vingi nilijifunza nikiwa hapo SUA na nimejifunza zaidi nikiwa huku unapo paita beyond...na bado natamani kujifunza... science ni universal...so tell me...how on earth placentophagy could cause microorganisms imbalance in the rumen...and why are u administering Epsom salt...Najua uko apo SUA sio kila kitu utafundishwa darasani nenda beyond..
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nimeshaeleza kwenye comment zangu za hapo juu kidogo....[emoji3167]β[emoji335][emoji3167]β[emoji335][emoji3167]β[emoji335]..hapana mkuu...SUA nimetoka kitambo sana....nadhan huu mwaka wa 5 nipo kwenye battle ground...(sio ofisini kwenye kiyoyozi)...vingi nilijifunza nikiwa hapo SUA na nimejifunza zaidi nikiwa huku unapo paita beyond...na bado natamani kujifunza... science ni universal...so tell me...how on earth placentophagy could cause microorganisms imbalance in the rumen...and why are u administering Epsom salt...
Sorry kama na wewe ni vet au paravet au animal scientist coz huwa sipend kiwakosoa hawa watu..I respect them a lot..BUT U ARE WRONG SIR...toka mwanzo..umeanza na recommendation ya Epsom kwenye case ya placentophagy (which is not the problem at all) ukiwa na lengo la kusolve tatzo la kupungua kwa maziwa kunakosababishwa na placentophagy (which is also not true) even if tukiassume ni kweli uhusiano unatoka wapi hapo..Epsom for hormone problems..real?....kuwa serious kidogo basi....Nimeshaeleza kwenye comment zangu za hapo juu kidogo.
Embu elezea labda wewe unaweza kuwa na uelewa mkubwa zaidi yangu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Babu alikuwa sahihi π―π―π―π―π―π―......kondom Lina hormone zinazoongeza maziwa (oestrogen na Oxytocin)...na Lina madini na viturubisho vinavyosaidia kumfanya kurecover mapema...Iron..kama Babu bado yupo mpe maua yake πΌπ·πΊπΈπ·...Huwa naenjoy sana nikikutana na wazee wa hivi field..Binafsi kitambo kidogo walikua wanatuambia tusimzuie Ng'ombe kula kondo la nyuma kwa sababu inamsaidia kuhoresha afya yake na maziwa hayakuwahi kupungua. Haya yalikua maelekezo ya babu ambae ni mzoefu wa kufuga na elimu ya kujua kusoma na kuandika tu. Leo ndo nasikia kile kitendo kinapunguza maziwa.
Okay nimekuelewa lakini msimamo wangu utabaki hapo hapo mana kila mtu ana utaalam wake wa kuattend case hiyo haijawihi niangusha ata siku moja.Sorry kama na wewe ni vet au paravet au animal scientist coz huwa sipend kiwakosoa hawa watu..I respect them a lot..BUT U ARE WRONG SIR...toka mwanzo..umeanza na recommendation ya Epsom kwenye case ya placentophagy (which is not the problem at all) ukiwa na lengo la kusolve tatzo la kupungua kwa maziwa kunakosababishwa na placentophagy (which is also not true) even if tukiassume ni kweli uhusiano unatoka wapi hapo..Epsom for hormone problems..real?....kuwa serious kidogo basi....
Then ukaleta hoja ya placenta kuharibu micro organism kwenye rumen..sijajua ulitaka kurelay vipi na case ya kupungua kwa maziwa...but umelihamisha tatzo kutoka kwenye hormone mpaka kuwa digestion problem....then ukaleta case ya bloat....duuuuh...naona hata hueleweki...
Nadhan kabla ya kumshauri huyu mfugaji ungefanya japo research kidogo...
Science ni fact....sio misimamo na mawazo binafsi...na utakuwa hujaelewa....vet.med sio uganga wa kienyeji kwamba kila mtu awe na utaaam wakeOkay nimekuelewa lakini msimamo wangu utabaki hapo hapo mana kila mtu ana utaalam
Haijawawi kukuangusha kwa sababu hamna tatzo lolote...unakuwa unahisi umetatua tatzo kumbe halikuwa tatzo...wake wa kuattend case hiyo haijawihi niangusha ata siku moja.
Nadhani wew sio daktari...ungekuwa japo paravet tungekua tushaelewana...ndo maana nikasema tuheshimu taaluma za watuSent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
SawasawaScience ni fact....sio misimamo na mawazo binafsi...na utakuwa hujaelewa....vet.med sio uganga wa kienyeji kwamba kila mtu awe na utaaam wake
Haijawawi kukuangusha kwa sababu hamna tatzo lolote...unakuwa unahisi umetatua tatzo kumbe halikuwa tatzo...
Nadhani wew sio daktari...ungekuwa japo paravet tungekua tushaelewana...ndo maana nikasema tuheshimu taaluma za watu
Karibu sana