Kweli mikocheni A uswaz sana, kule chama na kisiwaniMikocheni ipi maana mikocheni pia kuna uswaz, squatter za maana
Ova
Mikocheni ipi maana mikocheni pia kuna uswaz, squatter za maana
Ova
inatokea tuNimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu.
Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana?
Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi.
Je, haya maeneo huwa inakuwaje unashangaa watu wenye uwezo kiuchumi KUJENGA sana Mitaa hiyo kwa pamoja.
Kwa Mwanza Kuna Maeneo Kama Capripoint, Bwiru, Mwananchi, Isamilo n.k.
Na, Je ukiwa na Uchumi wako wa manati lakini ukawa na eneo huko unaporwa au Ni Nini hasa sababu kubwa ya hili?
Unaweza kuzungumzia nao vizuri lakini na wewe ukanufaika.Hatokei wala nini...
Msijipe moyo.....
Ni inaitwa "Gentrification"....
Unauzwa mzima mzima na shamba lako....au kijumba chako cha matope.....
kwa hela ndogo tu....halafu baadae unawahadithia watoto wako wakati mnaishi Manerungo kuwa walizaliwa Avic Town.....
This is a scientific answerMipangi miji, mambo ya Low density & high density plots.