Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hapan mkuu hii ishu imekaa kimipango miji. Kuna mtindo flani wa kulipanga jiji ndo kunafanya maeneo yawe na thamani na kuuzwa ghali, hapo huwez kuta masikini anakaa. Hata akikaa Kuna siku atauza tu akanunue kimbiji bei chee apate na mtaji. Siku pakipanda thamani kimbiji pia atawauzia wanaopaweza akanunue mserereko - ngombeleloinatokea tu
Vipi Katoro haimoNimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu.
Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana?
Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi.
Je, haya maeneo huwa inakuwaje unashangaa watu wenye uwezo kiuchumi KUJENGA sana Mitaa hiyo kwa pamoja.
Kwa Mwanza Kuna Maeneo Kama Capripoint, Bwiru, Mwananchi, Isamilo n.k.
Na, Je ukiwa na Uchumi wako wa manati lakini ukawa na eneo huko unaporwa au Ni Nini hasa sababu kubwa ya hili?
Jibu la hapa ni kwamba labda kitongoji kimoja au kijiji alafu kuna maeneo yanakuwa yamepimwa na kwa ukubwa wowote wa kueleweka na bei yake inakuwa imechangamka kidogo mfano labda milioni kumi alafu maeneo jirani na hapo unakuta unapata eneo lisilo na vipimo maalumu labda kwa milioni na nusu au mbiliUkisema viwanja vinapimwa vikubwa unamaanisha kwa ukubwa gani?
Hautaruhusiwa, kuuziana viwanja vilivyopimwa kuna process yake ambayo watu wa ardhi, nyumba na makazi lazima wahusike. Kuna sheria au sera za ujenzi chini ya mamlaka husika zinazoamua wapi pajengwe nini na pajengwe vipi. (sijui kama nimekujibu swali lako) Mimi sio mtaalamu wa mipango miji najaribu kutumia uzoefu nilioupata katika harakati za ununuzi/umiliki/ ujenzi.Mfano, vimekatwa viwanja vya low density halafu mtu ananunua anakata viwanja vyake vya 18*20 anauza?
Mtu kama huyo inakuwaje?
Nini kinapelekea maeneo hayo yaliyotajwa hapo juu kuwa na muonekano wa kishua kwa sababu maeneo hayo wanaishi wenye vipato vya juu au uwezo wao wa kimaisha upo katika hali nzuri kuwawezesha walakazi wa maeneo hayo kuishi bila tatizo lolote na pia hata ukiangalia hasa masaki bado kuna maeneo yanaonekana ni kama mapori kuwawezesha watu kujenga nyumba za maana . huwaga inakuwa vigumu kwa mtu masikini kuishi katika social organization ya watu wa kipato cha juu vice versa is true mkazi wa kipato cha chini huwa ni vigumuu kuishi katika organization ya watu wa kipato cha juuNimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu.
Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana?
Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi.
Je, haya maeneo huwa inakuwaje unashangaa watu wenye uwezo kiuchumi KUJENGA sana Mitaa hiyo kwa pamoja.
Kwa Mwanza Kuna Maeneo Kama Capripoint, Bwiru, Mwananchi, Isamilo n.k.
Na, Je ukiwa na Uchumi wako wa manati lakini ukawa na eneo huko unaporwa au Ni Nini hasa sababu kubwa ya hili?
Mimi nadhani hua inatokea tu.
Swali langu Ni kwamba, wakati wa ununuzi wa viwanja inakuwaje matajiri wajikute wamenunua sehemu moja?Nini kinapelekea maeneo hayo yaliyotajwa hapo juu kuwa na muonekano wa kishua kwa sababu maeneo hayo wanaishi wenye vipato vya juu au uwezo wao wa kimaisha upo katika hali nzuri kuwawezesha walakazi wa maeneo hayo kuishi bila tatizo lolote na pia hata ukiangalia hasa masaki bado kuna maeneo yanaonekana ni kama mapori kuwawezesha watu kujenga nyumba za maana . huwaga inakuwa vigumu kwa mtu masikini kuishi katika social organization ya watu wa kipato cha juu vice versa is true mkazi wa kipato cha chini huwa ni vigumuu kuishi katika organization ya watu wa kipato cha juu
Ukija maeneo ya buza , kawe na baadhi ya maeneo umaskini unatawala kwa kiasi kikubwa kama unavyojua watanzania wengi tuna maisha ya chini huko ndiko furaha yetu ipo kwa sababu ukali wa maisha unakuwa ni related to kipato chetu so ukija upande wa sensa ya watu na makazi utagundua maeneo ya uswazi yana watu wengi ambao wana asili ya kitanzania hii ina reflect maisha halis ya kitanzania ukilinganisha na maeneo ya watu wa masaki ambayo yana watu wachache lakini wenye kipato kikubwa hata mchango ukipita watu wa tano wanatosha kujenga kanisa mfano oysterby.
Lakini Bei ya Kiwanja huwa haipandi ghafla.haitokei tu boss, bei ya kiwanja ina kuwa kubwa, ndio jibu. Kapuku tunajichuja wenyewe, unapiga hesabu bei ya kiwanja unaweza jenga vyumba vitatu, unakimbilia zako Chanika au Mbande.
Ni tofauti na unavyodhani au unavyofikiria embu chukua mfano mmoja wew unakipato cha hali ya juu hali yako ya kimaisha iko juu je utaweza kwenda kuishi maeneo ya uswazi? Jibu ni hapanaSwali langu Ni kwamba, wakati wa ununuzi wa viwanja inakuwaje matajiri wajikute wamenunua sehemu moja?
Je, mtu akinunua Kiwanja Cha low density halafu akakikata mwenyewe na kuuza kwa watu wengine vipande anaruhusiwa?Size na bei za viwanja ndiyo vigezo vinavyoweka watu katika madaraja.
1. High density- hivi ni kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo
2. Medium density- kwa watu wa uwezo wa kati
3. Low density-kwa wenye uwezo wa juu
Hairuhusiwi. Hicho kiwanja kina namba moja tu. Ukikigawanya utapata wapi namba kwa hivyo vipande?Je, mtu akinunua Kiwanja Cha low density halafu akakikata mwenyewe na kuuza kwa watu wengine vipande anaruhusiwa?
Maendeleo utokana na upatikanaji wa huduma kama maji umeme na barabara pia viwanja kupimwa na ujenzi wa mpango mfano sasa hivi kama unapesa nunua kiwanja kama kigamboni baadae utashangaa bei yake.Nimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu.
Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana?
Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi.
Je, haya maeneo huwa inakuwaje unashangaa watu wenye uwezo kiuchumi KUJENGA sana Mitaa hiyo kwa pamoja.
Kwa Mwanza Kuna Maeneo Kama Capripoint, Bwiru, Mwananchi, Isamilo n.k.
Na, Je ukiwa na Uchumi wako wa manati lakini ukawa na eneo huko unaporwa au Ni Nini hasa sababu kubwa ya hili?
Nimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu.

Mipango miji, mambo ya Low density & high density plots.
Na wale wanaoanza kujenga pale umeona matusi yao? Kila mmoja kainua msingi wa ghorofa, we unaanzia wapi kujenga ya chini 😂! Bado kila anaejenga ana bango la ujenzi kutoka manispaa, haya mwenzangu na mimi atatokea wapi aje kujenga kule? It's obviously kutakuwa kwa kishua tu, sio kwa mi-fensi ile........Maendeleo utokana na upatikanaji wa huduma kama maji umeme na barabara pia viwanja kupimwa na ujenzi wa mpango mfano sasa hivi kama unapesa nunua kiwanja kama kigamboni baadae utashangaa bei yake.
Mfano mimi nilinunua kiwanja mwaka jana mwezi wa kumi kule Bamba beach kigamboni Gezaulole kwa milioni 35 juzi juzi Rafiki yangu alitaka kiwanja sehemu hiyohiyo saizi sawa akaambiwa bei ya sasa ni milioni 45 bei imeshapanda na viwanja hawauzi chini ya sqm 800