Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Ukute kuna kibopa kahusikaNashangaa hata wanafamilia wapo kimya wanaogopa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute kuna kibopa kahusikaNashangaa hata wanafamilia wapo kimya wanaogopa.
Duh 🙄 !!Nashangaa hata wanafamilia wapo kimya wanaogopa.
Sisi tunahusikaje na kauli za serikali ambazo hazijatolewa bado?Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
Marehemu alisafiri lini kwenda Moshi?Serikali(sirikali)[emoji2827][emoji1544][emoji1550]
MASWALI YA MITANDAONI
Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?
Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.
Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.
UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?
UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?
Duh !! Makubwa !!Sisi tunahusikaje na kauli za serikali ambazo hazijatolewa bado?
CCM ndo mwamuzi wa nani aseme ama asiseme nini.
JAMII FORUM IMEGEUKA TOILET PAPER [emoji3474][emoji406] YA WAHUNI ...HATA UKICHEKI BAN WANAZOPIGWA WATU SIKU HIZI NI ZAKISIASA NA KIFISADI ..KWA SASA UWEZI KUKUTA HABARI NYETI YOYOTE HAPA JF ZOTE ZINAPIGWA PIN KABLA YA KUTUFIKIA ...SERIKALI YA SAMIA INAMAMBO MAOVU MAKUBWA SANA WATU WAKILETA HUMU YANA PIGWA PIN [emoji419] SASA HIVI NI WAKATI WA KURUDI KULE KENYA TALK FORUM.... MAANA HAPA JF NAONA KABISA BWANA MERO... ULE MSEMO WA MASIKINI AKIPATA MATAKO ULIA PWATA UNA MUHUSUSina hakika kama ndio huo ila kuna mmoja uliliwa kichwa mapema kabisa
Ohooo ! Hivyo tena ???!JAMII FORUM IMEGEUKA TOILET PAPER [emoji3474][emoji406] YA WAHUNI ...HATA UKICHEKI BAN WANAZOPIGWA WATU SIKU HIZI NI ZAKISIASA NA KIFISADI ..KWA SASA UWEZI KUKUTA HABARI NYETI YOYOTE HAPA JF ZOTE ZINAPIGWA PIN KABLA YA KUTUFIKIA ...SERIKALI YA SAMIA INAMAMBO MAOVU MAKUBWA SANA WATU WAKILETA HUMU YANA PIGWA PIN [emoji419] SASA HIVI NI WAKATI WA KURUDI KULE KENYA TALK FORUM.... MAANA HAPA JF NAONA KABISA BWANA MERO... ULE MSEMO WA MASIKINI AKIPATA MATAKO ULIA PWATA UNA MUHUSU
Ndugu Lwiva naomba niwe na mtazamo tofauti kidogo hapa kwenye hili la kuilaumu JF (kwa maana ya wamiliki na wafanyakazi)JAMII FORUM IMEGEUKA TOILET PAPER [emoji3474][emoji406] YA WAHUNI ...HATA UKICHEKI BAN WANAZOPIGWA WATU SIKU HIZI NI ZAKISIASA NA KIFISADI ..KWA SASA UWEZI KUKUTA HABARI NYETI YOYOTE HAPA JF ZOTE ZINAPIGWA PIN KABLA YA KUTUFIKIA ...SERIKALI YA SAMIA INAMAMBO MAOVU MAKUBWA SANA WATU WAKILETA HUMU YANA PIGWA PIN [emoji419] SASA HIVI NI WAKATI WA KURUDI KULE KENYA TALK FORUM.... MAANA HAPA JF NAONA KABISA BWANA MERO... ULE MSEMO WA MASIKINI AKIPATA MATAKO ULIA PWATA UNA MUHUSU
Marehemu alisafiri lini kwenda Moshi?
Nchi yetu ina mazonge mengi
MkuuWaangalie number yake ya Simu faster kabla Hawa nafanya Jambo last time ilitumika akiwa mkoa gani
Nadhani Mpango akienda kumjulia hali dereva wa Ofisi yake ikawa hamna namna!Mwili wa Nasra upo mkoa gani tunavyoongea sasa hivi?
Mama Samia anaitwa mama ameshindwa kujua kilichompata binti Nasra ambaya ni sawa na binti yake?
RPC Dodoma naye amepiga kimyaaaa?
Dr mpango naye alikwenda kumjulia Hali Naibu Waziri akalishwa matango pori. Nchi ngumu hii kwa Kweli.
Sasa nchi inaongozwa na mama mabinti wanaliwa vichwa na watu wasiojulikana??
Labda wameshapata kibunda.Nashangaa hata wanafamilia wapo kimya wanaogopa.
Ina maana kuna jambo hapa kati ya hiyo ajali ya Waziri na huyo mwanafunzi...MASWALI YA MITANDAONI
Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?
Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.
Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.
UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?
UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?View attachment 2611532View attachment 2611533
Maswali mazuri hayo.MASWALI YA MITANDAONI

Wanawaogopa wenye nchi!Sina hakika kama ndio huo ila kuna mmoja uliliwa kichwa mapema kabisa
Kwaio Naibu waziri akiondolewa waziri ndo Nasra atarudi.Ebu Tuache ujinga kama alikua mchepuko hawa wote wanamakosa kwaio atakaepaswa kutoa adhabu dhidi yao ni mwenyezi MunguNafahamu jambo moja kuhusu Mh. Rais wetu, Mama ni mtu mwenye hofu ya Mungu na pia ni mpole na mwenye busara
Busara ya Mama itampeleka kwenye uvumilivu ili kuepuka kumuumiza mtu, atasubiri kidogo muda upite ili mwenye majeraha apone.
Hofu ya Mungu itamfanya achukue maamuzi ili kutenda haki na kufanya watu waendelee kuiamini serikali yake.
Mwenye ufahamu amenielewa
Tuwe na subra.