Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kwanini mkuu
Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange akiwa ametoka kwa mchepuko ghafla akamuona mkewe akikaribia hoteli akakimbia kwa speed na kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana na mchepuko umefia palepale ndio gumzo sasa Dodoma mjini hasa maeneo ya Waheshimiwa...