Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

RPC dodoma alikuwa kimya hata Tamisemi ila makamu na waziri mkuu alivoenda kumwona naibu waziri ikabidi RPC wa dodoma aje na taarifa ya uongo kuhusu ajali.
So Kuna kulindana
 
Sasa si wanaoata Mahela kutoka kwa akina nape
 
Umalaya nao umemponza tu watoto wa kike acheni kutembea na vibabu pumbavu zenu
 
Polisi wametoa tamko wanalifuatilia hili swala kuchunguza kama marehemu alikuwa pamoja na naibu wazir sasa unajiuliza siku zote Hawa polisi walikuwa wapi?
 
Umalaya nao umemponza tu watoto wa kike acheni kutembea na vibabu pumbavu zenu
Siku ukijua hata anayekuongoza leo amepata vyeo kwa kutumia tobo zake mbili za chini ...ndiyo maana aakili zake 0 ....utsjua kwanini wanatembea na vibabu vya chama cha machawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…