Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
kama Kibao alivyotii wakamtoa ndani ya basi wakaenda ku.makiza. HaHayajamkuta nduguyo!Ukisimamishwa na polisi tii, sheria,hili litasaidia polisi wetu kutotumia nguvu za ziada!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama Kibao alivyotii wakamtoa ndani ya basi wakaenda ku.makiza. HaHayajamkuta nduguyo!Ukisimamishwa na polisi tii, sheria,hili litasaidia polisi wetu kutotumia nguvu za ziada!
Dawa yao ni kuwazingira tu na kuwashushia kichapo! Au mhusika kujitetea kwa namna yoyote. No way out. Kuruhusu huu ujinga kuendelea kutamalaki, kunawafanya wananchi kuonekana kama kundi la nyumbu katikati ya simba wachache tu.
Hawawezi kUkupiga Risasi kama kweli ni POLISI au vyombo vya usalama na umetaka tu ufafanuzi kwao. Kwa kawaida POLISI anaruhuswa mtu wakati wowote akimuona mtuhuiwa lakini anapaswa kujitambulisha na kumueleza mtuhumiwa Kosa lake lakini swala la kumvamia nakuanza kumshambulia na kumfunga pingu huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Hapa unaweza ukaomba msaada kwa yoyote.Hivi sasa kuna vikundi vingi vya ukamataji mpaka vikampuni vya mikopo vinawatu wao wakukamata mitaani.Tatizo ukijaribu kuhoji wanachomoa manati ya mzungu Chap!!, km ni we utaendelea kuhoji??
Mkuu uko sawa Sheria ndio Iko hivyo...ila Sasa Hawa polisi wetu wapo kinyume kabisa na hio Sheria, ukitaka kujionea Fanya kosa alafu wakikufuata leta kamgomo au jidai unajua Sheria, watakachokufanya Nina uhakika utaamani hii nchi haiongozwi kwa Sheria Bali ubabeHawawezi kUkupiga Risasi kama kweli ni POLISI au vyombo vya usalama na umetaka tu ufafanuzi kwao. Kwa kawaida POLISI anaruhuswa mtu wakati wowote akimuona mtuhuiwa lakini anapaswa kujitambulisha na kumueleza mtuhumiwa Kosa lake lakini swala la kumvamia nakuanza kumshambulia na kumfunga pingu huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Hapa unaweza ukaomba msaada kwa yoyote.Hivi sasa kuna vikundi vingi vya ukamataji mpaka vikampuni vya mikopo vinawatu wao wakukamata mitaani.
Unalo sema upo sahihi kabisa kwasababu kwa sasa Maadili ya kazi siyo POLISI tu, ila secta zote za uma wanam,, maadili mabovu sana, hii nikutokana na misingi ya ajira za uma zinavyopatikana asilimia kubwa ajira ni zakujuana si rahisi kwa sasa mtotowa mlala hoi tu kutoka mtaani apate ajira ya TRA, POLISI, Uhamiaji, JWTZ. NIDA na sehemu kibao hivyo uchujaji unakuwa mgumu unakuta waajiriwa wote wameingia kwa vimemo na hata walioingiavkwa vimemo unaweza ukachomolewa mda wowote kama kunamkubwa fulani anataka mtu wake aingie. Hii inaharibu kabisa mfumo wa utendaji kazi hasa za umaMkuu uko sawa Sheria ndio Iko hivyo...ila Sasa Hawa polisi wetu wapo kinyume kabisa na hio Sheria, ukitaka kujionea Fanya kosa alafu wakikufuata leta kamgomo au jidai unajua Sheria, watakachokufanya Nina uhakika utaamani hii nchi haiongozwi kwa Sheria Bali ubabe
Ndiko kunapoelekea huko na wao watakuja kuguswa tu 😄Bahati mbaya tabia hizi zikianza huwa haziondoki, ni mpaka pale wanaozifanya wapatwe na matokea mabaya sana yatakayowalazimisha kuziacha.
Wewe hasa una kiwango gani Cha elimu? Ningependa kujua kwanza kuhusu suala hili kabla sijaendelea mbele zaidi.Piga simu polisi kuhakiki au ripoti kituo cha polisi cha karibu au kwa mjumbe wa nyumba kumi wa eneo au kiongozi yeyote wa serikali ya mtaa upesi
Kama huna uhakika hao ni askari au la
Kujua nini unakiwa kufanya unahitaji elimu?Wewe hasa una kiwango gani Cha elimu? Ningependa kujua kwanza kuhusu suala hili kabla sijaendelea mbele zaidi.
Huo muda wa kupiga simu shemeji utautoa wapi?Piga simu polisi kuhakiki au ripoti kituo cha polisi cha karibu au kwa mjumbe wa nyumba kumi wa eneo au kiongozi yeyote wa serikali ya mtaa upesi
Kama huna uhakika hao ni askari au la