Ni nini kifanyike pale tunapoona mtu anatekwa au kuchukuliwa na watu pasipo ridhaa yake ?

Ni nini kifanyike pale tunapoona mtu anatekwa au kuchukuliwa na watu pasipo ridhaa yake ?

Dawa yao ni kuwazingira tu na kuwashushia kichapo! Au mhusika kujitetea kwa namna yoyote. No way out. Kuruhusu huu ujinga kuendelea kutamalaki, kunawafanya wananchi kuonekana kama kundi la nyumbu katikati ya simba wachache tu.

Hivi unaelewa bayana kuhusiana na masuala haya ya Utekaji Watu?

Kumbuka, Abduction Squads huwa wanakuwa na zana zote muhimu au vitendea kazi vyote muhimu katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwamo na silaha nzito sana' za moto, sometimes wanakuwa na bunduki kubwa na ndogo (hand guns), pepper sprays, tassers, etc.
Aidha, unapaswa ufahamu kwamba vitendo hivi huwa vinafanyika katika mtindo wa Operesheni ya Kijeshi.
 
Naona watu wengi sana hatuelewi haki za mtuhumiwa anapohitajika kituoni
 
Piga simu polisi kuhakiki au ripoti kituo cha polisi cha karibu au kwa mjumbe wa nyumba kumi wa eneo au kiongozi yeyote wa serikali ya mtaa upesi
Kama huna uhakika hao ni askari au la
 
Tumuulize yeye anaetekwa kachukua mali ya nani maana km wewe mtu safi huna baya na mtu hakuna wa kuja kukuteka ila km una mambo yako chini ya kapeti
 
Tatizo ukijaribu kuhoji wanachomoa manati ya mzungu Chap!!, km ni we utaendelea kuhoji??
Hawawezi kUkupiga Risasi kama kweli ni POLISI au vyombo vya usalama na umetaka tu ufafanuzi kwao. Kwa kawaida POLISI anaruhuswa mtu wakati wowote akimuona mtuhuiwa lakini anapaswa kujitambulisha na kumueleza mtuhumiwa Kosa lake lakini swala la kumvamia nakuanza kumshambulia na kumfunga pingu huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Hapa unaweza ukaomba msaada kwa yoyote.Hivi sasa kuna vikundi vingi vya ukamataji mpaka vikampuni vya mikopo vinawatu wao wakukamata mitaani.
 
Mkuu uko sawa Sheria ndio Iko hivyo...ila Sasa Hawa polisi wetu wapo kinyume kabisa na hio Sheria, ukitaka kujionea Fanya kosa alafu wakikufuata leta kamgomo au jidai unajua Sheria, watakachokufanya Nina uhakika utaamani hii nchi haiongozwi kwa Sheria Bali ubabe
 
Na sisi hatujui anayekamatwa ni mtuhumiwa au sio..kwakweli ukamataji ni kazi yao ili ulinzi ni wako binafsi na jamii..ni vile tu wakamataji hawaeleweki na pia matokeo ya ukamataji hayapimiki...ila pia wangeainisha ukamataji kihivyo ni kwa makosa gani au hata kudaiana tu?
 
Mkuu uko sawa Sheria ndio Iko hivyo...ila Sasa Hawa polisi wetu wapo kinyume kabisa na hio Sheria, ukitaka kujionea Fanya kosa alafu wakikufuata leta kamgomo au jidai unajua Sheria, watakachokufanya Nina uhakika utaamani hii nchi haiongozwi kwa Sheria Bali ubabe
Unalo sema upo sahihi kabisa kwasababu kwa sasa Maadili ya kazi siyo POLISI tu, ila secta zote za uma wanam,, maadili mabovu sana, hii nikutokana na misingi ya ajira za uma zinavyopatikana asilimia kubwa ajira ni zakujuana si rahisi kwa sasa mtotowa mlala hoi tu kutoka mtaani apate ajira ya TRA, POLISI, Uhamiaji, JWTZ. NIDA na sehemu kibao hivyo uchujaji unakuwa mgumu unakuta waajiriwa wote wameingia kwa vimemo na hata walioingiavkwa vimemo unaweza ukachomolewa mda wowote kama kunamkubwa fulani anataka mtu wake aingie. Hii inaharibu kabisa mfumo wa utendaji kazi hasa za uma
 
Bahati mbaya tabia hizi zikianza huwa haziondoki, ni mpaka pale wanaozifanya wapatwe na matokea mabaya sana yatakayowalazimisha kuziacha.
Ndiko kunapoelekea huko na wao watakuja kuguswa tu 😄

Ova
 
Piga simu polisi kuhakiki au ripoti kituo cha polisi cha karibu au kwa mjumbe wa nyumba kumi wa eneo au kiongozi yeyote wa serikali ya mtaa upesi
Kama huna uhakika hao ni askari au la
Wewe hasa una kiwango gani Cha elimu? Ningependa kujua kwanza kuhusu suala hili kabla sijaendelea mbele zaidi.
 
Mkithibitisha pasipo shaka kuwa kuna utekaji unafanyika jambo la kufanya ni kuwateka tu na kuwatanguliza mbele ya haki
 
Wewe hasa una kiwango gani Cha elimu? Ningependa kujua kwanza kuhusu suala hili kabla sijaendelea mbele zaidi.
Kujua nini unakiwa kufanya unahitaji elimu?

Mfano watu wamekuja nyumbani kwako kukukamata au kwa jirani wakasema wao polisi si una comfirm kituo cha polisi cha karibu au kumpigia mjumbe wa nyumba kumi au serikali ya mtaa ukiwa sio mhalifu.
Confirm kupitia official channels sio tu kudai vitambulisho vyao vyaweza kuwa feki wewe unavijua vitambulisho vyao?

Kusoma ni kitu gani ingekuwa kusoma ni kitu kikubwa wasomi wote wangekuwa matajiri kuliko Mzee Bakheresa bilionea ambaye elimu yake ya juu aliyosoma na kuacha shule ni darasa la pili shule ya msingi
 
Hata mkiwa wananchi 100,watekaji wakishachomoa manati za mzungu,watu wanatokomea kama upepo
 
Piga simu polisi kuhakiki au ripoti kituo cha polisi cha karibu au kwa mjumbe wa nyumba kumi wa eneo au kiongozi yeyote wa serikali ya mtaa upesi
Kama huna uhakika hao ni askari au la
Huo muda wa kupiga simu shemeji utautoa wapi?
 
Back
Top Bottom