mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,155 Reaction score 2,704 Oct 22, 2026 #1 CHAGUZI kuu 7 tangu 1995, LAKINI pamoja na upinzani mkali sana hasa 1995, 2000, 2010 na 2015, hatukuwa na hali hii ya sasa ya UGAIDI na UHAINI! What changed?
CHAGUZI kuu 7 tangu 1995, LAKINI pamoja na upinzani mkali sana hasa 1995, 2000, 2010 na 2015, hatukuwa na hali hii ya sasa ya UGAIDI na UHAINI! What changed?
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Oct 22, 2026 #2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua. Mithali 29:2
Only her for ever JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 243 Reaction score 340 Oct 22, 2026 #3 Ametuletea mvua za elnino
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 6,138 Reaction score 11,989 Oct 22, 2026 #4 MamaSamia2025 Samia atosha tukutane2030
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,662 Reaction score 27,112 Oct 22, 2026 #5 Tena Rais mwanamke ndio anafanya haya,ni kutokujiamini!