Sara
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 1,060
- 932
Well saidMoja ni experience,tunachoshindwa kuelewa ni kuwa hata hao wazungu tunaowaabudu walipitia vipindi vigumu sana,wameishi katika ardhi mbovu na baridi.Wamepita katika majanga mengi ya magonjwa,wameuana kwasababu ya imani za kichawi na
Hiyo ndiyo chachu yao ya mabadiliko yao.Imewajengea uwezo mkubwa wa akili,kujiamini na most importantly uvumilivu.
By the time wametengeneza meli na bunduki na kuanza kutawala mabara yaliyokuwa yanakula bata it was too late,I dont blame them,I admire them..they survived,conquered and kept on moving forward.
Ila tatizo we never try to learn from history.
Darwin alieleza hichi nlichoeleza simply,survival is for the fittest.
And what do you expect from races which have survived the worst and conquered the world?
But still,intelligence is a broad term.It is knowledge in action,at the right time and place.Uwezo wa kuconnect elimu tuliyonayo kutatua matatizo.To what use is your knowledge if you cant deliver when needed? We kama unajua 2×2 na hujui 2+2 ukiulizwa watu watakuita mjinga.
Intelligence ni kuwa na subira na uwezo wakufanikiwa katika mazingira yoyote.Ndio maana Tyrion kwenye game of thrones anasurvive popote.Kuwa intelligent haimaanishi ubishi na ujuaji.Wazungu waliachia koloni zao wakiwa na subira na mipango madhubuti ya kututawala kiakili zaidi.
Intelligence ni kutafuta solution na sio kutoa lawama
Also kuna ukweli kuwa intellingence inatoka kwa mama zaidi haijalishi kama baba ana akili au hana.Wanasayansi wanajua zaidi.Pia vyakula vina umuhimu wake,samaki mboga za majani n.k. Kuna watoto wana uelewa mdogo darasani kwasababu tu ya lishe mbovu.
Ukitaka mwanao awe intelligent mwachie aishi maisha yote,ya shida na raha.Ya njaa na shibe,that way they can get different perspectives of life and how to appropriately use their knowledge.
Aliki inahitaji sacrifice,its not merely a God given blessing or bought from English based schools.Even Ben Carson mwenye gifted hands ali hustle.
I apologize for my mixed language.
sisi Wa Africa naona bado tupo kwenye stage ile ya wao kuishi kwenye maisha duni waliyopitia wao na kuyabadiri, bali sisi hatutaki kutoka katika hiyo stage. Tupo kwenye siasa tu, maendeleo yatangoja sana, sorry kutoka nje ya mada