nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Changamoto ndizo zinazofanya utofauti wa akili.Nimekua nikijiuliza hili swali siku nyingi sana, ni kitu gani kinachofanya uwezo wa akili utofautiane kati ya mtu mmoja na mtu mwingine?
Je, kuna mahusiano yoyote kati ya race/jamii ya watu fulani na uwezo wa akili/kufikiri? Mfano: Kuna watu wanaamini Mzungu ana uwezo mkubwa wa akili kuliko Muafrika. Kuna ukweli wowote katika hili?
Je, kuna uwezekano wa kumlea mtoto katika misingi ambayo itamfanya awe na uwezo mkubwa wa akili?
Je, uwezo wa akili unaamuliwa na genetics?
What factors determine intelligence?
Karibuni wanajukwaa, michango yenu ni muhimu katika kupata majibu ya maswali haya.
Cc
Kiranga
Malcom Lumumba
nyabhingi
Eiyer
Mshana Jr
Da'Vinci
Mtu hutumia akili ya ziada baada ya kukumbana na changamoto. Ndio maana unaona watu hutofautiana kiakili kulingana na mazingira