Ni nini kinachoamua uwezo wa akili wa binadamu?

Ni nini kinachoamua uwezo wa akili wa binadamu?

Nimekua nikijiuliza hili swali siku nyingi sana, ni kitu gani kinachofanya uwezo wa akili utofautiane kati ya mtu mmoja na mtu mwingine?

Je, kuna mahusiano yoyote kati ya race/jamii ya watu fulani na uwezo wa akili/kufikiri? Mfano: Kuna watu wanaamini Mzungu ana uwezo mkubwa wa akili kuliko Muafrika. Kuna ukweli wowote katika hili?

Je, kuna uwezekano wa kumlea mtoto katika misingi ambayo itamfanya awe na uwezo mkubwa wa akili?

Je, uwezo wa akili unaamuliwa na genetics?

What factors determine intelligence?

Karibuni wanajukwaa, michango yenu ni muhimu katika kupata majibu ya maswali haya.
Cc
Kiranga
Malcom Lumumba
nyabhingi
Eiyer
Mshana Jr
Da'Vinci
Changamoto ndizo zinazofanya utofauti wa akili.

Mtu hutumia akili ya ziada baada ya kukumbana na changamoto. Ndio maana unaona watu hutofautiana kiakili kulingana na mazingira
 
Yaani imeua kabisa uwezo wetu wa kufikiri. Hatuwezi kutumia tena akili. Tunatumia formula zao wanazotukaririsha
Nakazia

Ni kweli kabisa tunaishi kwa formula isiyo asili yetu

Japo kuna manufaa ila athari mbaya ni nyingi

"Elimu ni kama bidhaa za dukani ni lazima uchague kwa hekima kulingana na mahitaji"_sadh Guru

Tewekeze kwenye elimu za utambuzi kwa sana ile ya kujijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna kitu kimetufanya tuishiwe Akili ni kuipokea elimu ya kizungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa mwambao walipokataa walinangwa kuwa ni Mazezeta Yasiyotaka mabadiliko

Wakati walichungulia mbali wakafahamu kuwa huu ni utumwa mbaya

Maisha kwa ukawaida hayahitaji mbwembwe nyingi ni kujichosha tu

Shikamoo wazee wa mwambao[emoji16]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema wazungu wana akili sana basically unaongelea genetics,na katika genetics hakuna scientific evidence kua watu wa aina fulani "race" wana akili kuzidi wa aina nyingine...


Mfano mtoto anapozaliwa anazaliwa hana "akili" (utambuzi wa mambo) akili hutegemea na malezi na mazingira aliyokulia pamoja na tabia za watu anaoishi nao.
 
Back
Top Bottom