Ni nini kinachoamua uwezo wa akili wa binadamu?

Well said
sisi Wa Africa naona bado tupo kwenye stage ile ya wao kuishi kwenye maisha duni waliyopitia wao na kuyabadiri, bali sisi hatutaki kutoka katika hiyo stage. Tupo kwenye siasa tu, maendeleo yatangoja sana, sorry kutoka nje ya mada
 
is that fair to walk by foot in a thousands miles than by a plane in 45 minutes...??

compare the advancement kwanza...


kwamba babu zetu wa miaka ya1880 kuko walikuwa wanabeba magogo kwa nguvu zao na wengine walikufa utumwani au katika ujenzi wa madaraja makubwa ambayo ndo unayatumia kupita since technolojia haikuwepo but leo hii technolojia imekurahisia ndo mana tunatumia nguvu ndogo kujenga kitu kikubwa..

how do you find kama tukikukamata wew na kukupeleka ukajenge reli ya standard gauge kwa mikono yako..!!

will it be fair..??

wouldnt ya die early...??

Amini usiamini kuja kwa ngozi nyeupe na nyinginezo duniani kumekufanya ustaarajibike kwa ustadi mkubwa...
The morden life you live ni kwa sababu yao..

nenda kijijini kabsa ambako ni remot ares kabisa halafu ucompee na maisha yao kama hujawashangaaa kwa jinsi wanavyovaa,wanavyokula na kusocialize...

it is stiff Aukwardly kabsaa...

stupid primitive life...

naamini kuna sehemu akili nene ilitok kwa ajili ya kuja kuopen up mind ya ngozi hii nyeusi isiyotambua lolote na inajiendee ende tu kwenye ulimwenvu huu...

usijlinganishe na hao watu kabsaaa...

very stupid at high grade kabsaa....we nothing at ol...

leo hii unafanya mambo mengi wity no much effforts ni kwa sababu wamekutanulia space-time machine...

space time dilation ndo kitu pekee kinachokulahisia kila jambo dunia ya leo na bado wanazidi kuexpand space time dilation na kukufanya usafiri kwenda Armstadam kwa dk 45 tu ..just wait na utashuhudia ...

ngozi nyeusi imekuja kupewa conciousness nahisi ilisahaulika kwenyr DNA Transcendendal in relation to Homegeneity ..
katika life form allowance ya kuruhusu DNA ziruhusu kugeuka na kuwa viumbe basi DNA ya ngozi nyeusi ilimis Intelligence transposition and transformation na kufanya kukosa Gene factor control ndo mana tunaumiza vichwa kuju mchakato wa jinsi maisha yanavyokwenda..

dont hate your color ,hate yo DNA carrier who forgot to carry the necessary factor control...

tumekosa kit kwenye DNA yetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubarikiwe nimejifunza kitu leo[emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahn mkuu kama hutojal
Hakuna mwafrika yeyote aliyewahi kubumbua kitu toka dunia kuumbwa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa una akili sana MTU mwenye akili hawezi kuua kila siku kwa sababu eti ya kufanikisha malengo yake.hata waafrika wanauana sana siku hizi kwa sababu ya madaraka yaliyoboreshwa kizungu.
 
Kwanini Mzungu ana uwezo mkubwa wa akili kuliko Muafrika?
Kwanini iko hivyo?
Mimi hilo siamini wala sitakaa niamini mpaka nakufa.

Haijawahi binadamu mmoja na mwingine wakatofautishwa kwa akili,bali tofauti ya mmoja na mwingine ni kutokana na rangi,kabila au taifa.

Hii inaonyesha maadamu wewe ni binadamu basi kiakili uko sawa na wengine. Kwa maana ukimakinika kwayo utafikia lengo.


Kadhalika kuhusu vipimo,suala la maendeleo yakijamii kutumika kama ndio uwezo wa akili,watumiavyo vipimo hivyo si wengine zaidi ya wenye maradhi ya akili.

Ila kuna jambo kubwa sana bali ndio kipimo sahihi cha mtu mwenye akili na bora kuliko mwengine. Hili jambo wengi wamelisahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Genetics ... Mazingira unayomlea ...

Sio kwel wazungu wanaakili...ila malezi wanayokulia yanafanya waonekane ivo napia mazingir yao.

Sio kila Mtengeneza Makombora ana akili, isipokua mazingira yaufundishwaji ndio ufanys tuwaone wanamaakili.

Taifa la Israel hawa Wanaakili zao tu zitabakiaga kuwepo tu miaka nends miaka rudi .

Kwa hapa Bongo kwetu Akili imekia based sana ktk genetics ,maana mazingira yakuifanya akili hayapoooo.

Hapo utasikia, Kila mtu anaakili ,tunatofautiana kutumia...huu ni uongo. Kila mtu ana ubongo lkn akili tumetofautiana.

Ndo maana kuna shule za vipaji hawa kipimo kikuu cha akili nisomo la HESABU.

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Apparently, taifa lenye watu wenye akili sana Duniani ni Israel, hii imesababishwa na chakula wanacho kula yaani ngano isiyokobolewa. Ukuaji wa ubongo wa mtoto unaanzia toka mimba inapotungwa hadi akitimiza miaka 4.

Hivyo basi uwezo wa akili wa mtoto unaweza kuwa determined na aina ya chakula anachokula mama toka akiwa mjamzito. Kuna kamsemo kanasema "what you eat, is who you are", wenzetu wanakula ili waishi, hawaishi ili wale. Wanazingatia wakati gani mama mjamzito, mtoto wa umri gani? anatakiwa ale chakula gani kwa afya ya mwili na Ubongo. Jiulize huku Africa tunapendelea kula nini?

Maana haiwezekani ukampa uji wa udaga mtoto wa miezi4 utegemee aje kuwa genius! Au kumnywesha mtoto wa mwaka1 pombe ya ulanzi ili asisumbue, utegemee atakuja kuwa genius.

Huko kusini, watoto wanalishwa ugali wakiwa na miezi4 tu, eti ili asilie lie. So inabidi tuachane na utamaduni wa kula vibaya, tujiulize kila tunachokula kina kazi gani mwilini na tufahamu chakula cha ubongo ni kipi?

Haiwezekani imefika usiku unampakulia mtoto sahani mbili za wali na maharage au ugari, wakati anaenda kulala baada ya muda mfupi, sasa hiyo energy anaenda kuitumia wapi? Usingizini?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nianze kwa kusema wazungu hawatuzid uwezo Wa kufikiri ....
Kila binadam anauwezo ambao akiuendeleza unaleta manufaa mfano
Umewah kujiulza kwa nn mtoto anaefanya vzr darasan ndie anapelekwa nje kuendelezwa kimasomo? Kwa nn asipelekwe asieweza ili kujua tashihi yake?
Mazingira yetu ya malezi ndio huharbu nasaba ....mfano mtu kuwa jambaz hutokana potential ktk ubongo wa mtu kuelekeza nguvu mahali pengine km ujambazi ebu jiulze hyo nguvu ingeelekezwa mahal sahh angepatkana nan?
 
Aliki inahitaji sacrifice,its not
merely a God given blessing
or bought from English based
schools.
Bro hapa umejiongeza kwa kweli lakini uhalisia hauko hivyo, kusema kuwa aliekuumba hana uwezo wa kukupa akili na maarifa zaidi ya wengine kwanza inaonesha ni kiasi gani una roho mbaya, ndio ni mwenye roho mbaya tu ambae hawezi ku appriciate uwezo wa ziada wa wengine, hatuwezi sote kuwa magenius hata kama kukatumika njia gani mbadala kila mtu na akili yake aliyojaaliwa na mungu, kama kipaji chako ni roho mbaya huwezi kuwa msamaria mwema, hatuwezi kukaa hapa kubishana kuwa mitume na wavumbuzi wengine duniani akili zao zilikuwa ni sawa na zetu,,wale walikuwa ni gifted from GOD hata mungu mwenyewe amesema "Nimewafadhilisha baadhi yenu mbele ya wengine" ( Wafadhwalnaa baadhwahum alaa baadh).
 
Aliki inahitaji sacrifice,its not
merely a God given blessing
or bought from English based
schools.
Bro hapa umejiongeza kwa kweli lakini uhalisia hauko hivyo, kusema kuwa aliekuumba hana uwezo wa kukupa akili na maarifa zaidi ya wengine kwanza inaonesha ni kiasi gani una roho mbaya, ndio ni mwenye roho mbaya tu ambae hawezi ku appriciate uwezo wa ziada wa wengine, hatuwezi sote kuwa magenius hata kama kukatumika njia gani mbadala kila mtu na akili yake aliyojaaliwa na mungu, kama kipaji chako ni roho mbaya huwezi kuwa msamaria mwema, hatuwezi kukaa hapa kubishana kuwa mitume na wavumbuzi wengine duniani akili zao zilikuwa ni sawa na zetu,,wale walikuwa ni gifted from GOD hata mungu mwenyewe amesema "Nimewafadhilisha baadhi yenu mbele ya wengine" ( Wafadhwalnaa baadhwahum alaa baadh).
 
.

Taifa la Israel hawa Wanaakili zao tu zitabakiaga kuwepo tu miaka nends miaka rudi .
Unaweza ukatupa reference mkuu ya haya unayosema..... Mbona inaonekana kabila la Han (wachina) wana IQ kubwa kuliko hao waisraeli?? Na kama walikuwa na akili hivi kivipi wauawe na hitler kma panzi bila kujiokoa mapema??
 
Mkuu naheshimu mawazo yako ila naona watu wote kwenye huu uzi mnarudia same fact kwamba waisraeli wana akili kuliko mataifa yote je hii data mnaitoa wapi?? Ntashukuru kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…