Ni nini kinachoamua uwezo wa akili wa binadamu?

Ngumbaru

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2018
Posts
495
Reaction score
677
Nimekua nikijiuliza hili swali siku nyingi sana, ni kitu gani kinachofanya uwezo wa akili utofautiane kati ya mtu mmoja na mtu mwingine?

Je, kuna mahusiano yoyote kati ya race/jamii ya watu fulani na uwezo wa akili/kufikiri? Mfano: Kuna watu wanaamini Mzungu ana uwezo mkubwa wa akili kuliko Muafrika. Kuna ukweli wowote katika hili?

Je, kuna uwezekano wa kumlea mtoto katika misingi ambayo itamfanya awe na uwezo mkubwa wa akili?

Je, uwezo wa akili unaamuliwa na genetics?

What factors determine intelligence?

Karibuni wanajukwaa, michango yenu ni muhimu katika kupata majibu ya maswali haya.
Cc
Kiranga
Malcom Lumumba
nyabhingi
Eiyer
Mshana Jr
Da'Vinci
 
unahitaji nini kujua jamii ya kizungu inaakili kushinda jamii ya kiafrika.. maendeleo ya kisayansi,kiutawala elimu n.k yameletwa na jamii ya kizungu,mwafrika kachangia lkn si kama mzungu.
Ikiwa akili ni sifa basi tambua inalisiwa lkn pia mazingira hutoa fursa ya kuumbika vyema kwa akili.. Sina mashaka kuwa uwezo wa akili huamuliwa na genetic.. mfano kwa wanyama uwezo wao kiakili huwa na sifa zilezile,unachotakiwa kutambua akili ni kama puto likijazwa hewa hutanuka lkn huwa na uwezo wake hapo ndo genetics inaingia kuna wenye uwezo(waliorithi) wa kukalili,kufikiri,logic n.k
pia chakula huchangia pakubwa kwa ukuaji wa ubongo.
 
Moja ni experience,tunachoshindwa kuelewa ni kuwa hata hao wazungu tunaowaabudu walipitia vipindi vigumu sana,wameishi katika ardhi mbovu na baridi.Wamepita katika majanga mengi ya magonjwa,wameuana kwasababu ya imani za kichawi na
Hiyo ndiyo chachu yao ya mabadiliko yao.Imewajengea uwezo mkubwa wa akili,kujiamini na most importantly uvumilivu.
By the time wametengeneza meli na bunduki na kuanza kutawala mabara yaliyokuwa yanakula bata it was too late,I dont blame them,I admire them..they survived,conquered and kept on moving forward.
Ila tatizo we never try to learn from history.
Darwin alieleza hichi nlichoeleza simply,survival is for the fittest.
And what do you expect from races which have survived the worst and conquered the world?

But still,intelligence is a broad term.It is knowledge in action,at the right time and place.Uwezo wa kuconnect elimu tuliyonayo kutatua matatizo.To what use is your knowledge if you cant deliver when needed? We kama unajua 2×2 na hujui 2+2 ukiulizwa watu watakuita mjinga.

Intelligence ni kuwa na subira na uwezo wakufanikiwa katika mazingira yoyote.Ndio maana Tyrion kwenye game of thrones anasurvive popote.Kuwa intelligent haimaanishi ubishi na ujuaji.Wazungu waliachia koloni zao wakiwa na subira na mipango madhubuti ya kututawala kiakili zaidi.
Intelligence ni kutafuta solution na sio kutoa lawama

Also kuna ukweli kuwa intellingence inatoka kwa mama zaidi haijalishi kama baba ana akili au hana.Wanasayansi wanajua zaidi.Pia vyakula vina umuhimu wake,samaki mboga za majani n.k. Kuna watoto wana uelewa mdogo darasani kwasababu tu ya lishe mbovu.

Ukitaka mwanao awe intelligent mwachie aishi maisha yote,ya shida na raha.Ya njaa na shibe,that way they can get different perspectives of life and how to appropriately use their knowledge.
Aliki inahitaji sacrifice,its not merely a God given blessing or bought from English based schools.Even Ben Carson mwenye gifted hands ali hustle.
I apologize for my mixed language.
 
Unavofikiri kama hayo yasingekuwepo tungeishije au unahisi tusingeishi???

Kwa uelewa wangu mzungu kavumbua shida taabu na matatizo tu katika hii dunia, sijaona madhara waliyoyapata watu kipindi havipo alivyovivumbua, yaani mtu aunde kitu ajue na matumizi yake halafu akufundishe na faida zake we uone ni jambo la Akili, kiufupu sayansi ndiyo chanzo cha umasikini na matatizo duniani, kama sio sayansi tungekuwa vizuri sana mpaka Akili na maarifa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ni experience,tunachoshindwa kuelewa ni kuwa hata hao wazungu tunaowaabudu walipitia vipindi vigumu sana,wameishi katika ardhi mbovu na baridi.Wamepita katika majanga mengi ya magonjwa,wameuana kwasababu ya imani za kichawi na
Hiyo ndiyo chachu yao ya mabadiliko yao.Imewajengea uwezo mkubwa wa akili,kujiamini na most importantly uvumilivu.
By the time wametengeneza meli na bunduki na kuanza kutawala mabara yaliyokuwa yanakula bata it was too late,I dont blame them,I admire them..they survived,conquered and kept on moving forward.
Ila tatizo we never try to learn from history.
Darwin alieleza hichi nlichoeleza simply,survival is for the fittest.
And what do you expect from races which have survived the worst and conquered the world?

But still,intelligence is a broad term.It is knowledge in action,at the right time and place.Uwezo wa kuconnect elimu tuliyonayo kutatua matatizo.To what use is your knowledge if you cant deliver when needed? We kama unajua 2×2 na hujui 2+2 ukiulizwa watu watakuita mjinga.

Intelligence ni kuwa na subira na uwezo wakufanikiwa katika mazingira yoyote.Ndio maana Tyrion kwenye game of thrones anasurvive popote.Kuwa intelligent haimaanishi ubishi na ujuaji.Wazungu waliachia koloni zao wakiwa na subira na mipango madhubuti ya kututawala kiakili zaidi.
Intelligence ni kutafuta solution na sio kutoa lawama

Also kuna ukweli kuwa intellingence inatoka kwa mama zaidi haijalishi kama baba ana akili au hana.Wanasayansi wanajua zaidi.Pia vyakula vina umuhimu wake,samaki mboga za majani n.k. Kuna watoto wana uelewa mdogo darasani kwasababu tu ya lishe mbovu.

Ukitaka mwanao awe intelligent mwachie aishi maisha yote,ya shida na raha.Ya njaa na shibe,that way they can get different perspectives of life and how to appropriately use their knowledge.
Aliki inahitaji sacrifice,its not merely a God given blessing or bought from English based schools.Even Ben Carson mwenye gifted hands ali hustle.
I apologize for my mixed language.
Kama kuna kitu kimetufanya tuishiwe Akili ni kuipokea elimu ya kizungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Only God provides
Hatuwezi kulinganganisha akilili za jamii tofauti bila ya kuweka vigezo ni sawa na kusema gari na ndege ndege bora kisa ndege inaruka angani, inatatakiwa tuweke vigezo km vile cost, flexibility, speed,nk.
kwangu ningependa kulinganisha akili kwa mambo yafuatayo;
1. Kujua majukumu yako hapa duniani km kiumbe, hapa unaweza kukutta professor eidha anakataa kuwa hakuna muungu au anaabudia nafsi yake au kiumbe chengine
2. Kujua na kusimamia maisha yako ya kilasiku, hapa unaweza kusema wazungu wanajitahidi lkn wamefeil kwa kuwa ktk kufanikisha hili hudhulumu,kuuwa, kuiba nk ni sawa professa ameandika vitabu vingi then unamlinganisha kwa utajiri na fisadi serekali ambae ameiba amedhulumu nk kwa kumuita fisadi anaakili nyingi kuliko profrssa.
 
Back
Top Bottom