Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
- Thread starter
- #21
Nitapitia pia hili bandiko asanteKuna familia zina laana ya asili
Hili naliandika kwa uchungu mno kwakuwa waathirika ni wengi na hata pengine baadhi ya wana JF ni wahanga. Maisha yanatufunza mengi yanatuonyesha mengi na yanatufunulia mengi Kuna familia zimebarikiwa, hawa maisha yao ni full shangwe mafanikio na baraka kwao si kitu cha kuuliza , kwao ishu za...www.jamiiforums.com