The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
- Thread starter
-
- #41
Kuchukua dola huhitaji mtu mwenye sifa fulani maalumu fixed....
************
Kujibizana na watu kaliba yako ni kupoteza muda wangu. Ikiwa wewe tu huwezi kukamata mwanamke yeyote ukalala naye achilia mbali kumfanya kuwa mke.
Unaanzaje kupuuzia sifa za mgogembea nafasi nyeti kama ofisi ya Rais?
***********
John Pombe Magufuli wa CCM ni miongoni mwa viongozi wasio na sifa ya kuwa viongozi ktk nafasi ya Urais, lakini huyo yupo ni Rais....
Ni Rais kwa sababu, CCM hawakuangalia yale unayoyatazama wewe. Walihitaji kushinda uchaguzi, basi....
MANENO YA THOMAS SANKARA aliyekua Rais wa Burkinafaso na akaweka alama japo alikaa kwa muda wa miaka minne tu.
KULETA MAPINDUZI YA KWELI KATIKA TAIFA YAKUPASA KUWA NA AINA FULANI YA UWENDA WAZIMU
Dr. John Joseph Pombe Magufuli anachowachanganya walio wengi ni Jambo moja tu "HE IS BEYOND NORMAL STAFF" hafanyi kutimiza muda wake bali anatenda kuikomboa jamii yake iliyokua imetopea kwenye ULARUSHWA, UMIMI, UMANGIMEZA, UKABAILA NA UONGOZI WA MAZOEA.
************
Hivi ndivyo ilivyo mwaka huu 2020. Hatuangalii uanaharakati wa Tundu Lissu. Tunaangalia anaweza kutupa kura za ushindi?
ALIPOKUA KATIKA ZIARA YAKE NCHINI MAREKANI ALIULIZWA SWALI KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA
Tafuta ule mdahalo wake alafu utafakari kama unataka Tanzania ambayo ipo siku mwanao wa kiume atakuja na mwanaume akuambie kua baba huyu ndio chaguo la moyo wangu
NB
Unapotaka kuzungumza nami kuhusu siasa inabidi ujitafakari kwanza Mkuu kabla ya kuingia aibu?
Unasemaje? Umemalizaje hapo mwisho?
Kwamba, mtu akitaka kujadili na wewe siasa afanye nini? Ajipange sawasawa, right?
No way...!!
Absolutely sijaona chochote cha ajabu na cha ziada unachojua kuhusu siasa za Tanzania wewe....
Presentation yako ya hoja, unaonesha kuwa wewe ni "egomaniac"...
Mtu mpenda sifa, kujikweza na kujiinua ukidhani kuwa " unajua yote" na wengine hawajui lolote....
You are wrong, umepotea, huna thamani hiyo....!!
Hoja hii tu tayari imeshakutoa kwenye Kundi la weledi wa uchambuzi wa mambo ya siasa za Tanzania na kukuweka kwenye Kundi la "political propaganda mistress' "...
Na unajua wanapropaganda wa siasa ni watu wa namna gani;...
kwamba, waongo na wasio na facts, na kuokoteza mambo yasiyo na evidence ili kuwapaka rangi watu wao....
Back to the topic;
1. Unajaribu kulinganisha kuchagua wagombea ktk vyama vya kiaiasa na kuchagua mke/nchumbs. Kwamba mtu hawezi kuoa kichaa....
Jibu la hoja hii ni YES, so long as umempenda na kumuona ni asset kwako, hata mke kichaa aweza kupata mume na kuolewa....!!
Vivyo hivyo ktk siasa, kuweka mgombea, ni aidha umejiridhisha kabisa kuwa ni ASSET na siyo LIABILITY...
Narudia tena na hii ikae kichwani mwako, huhitaji sifa nyingine zaidi tu kuwa mgombea wako ANA USHAWISHI na ANACHAGULIKA....
Magufuli si KIONGOZI na hana qualities za UONGOZI lakini alikuwa na sifa ya kuchagulika ile 2015 ambazo amezipoteza hii 2020...
Kwa CCM, kama watamweka huyu tena mwaka huu, wajue wameweka LIABILITY.....
Aombe - pooo asisimame na Tundu Lissu. Ikitokea, basi this time badala ya kuomba kura kwa kupiga magoti, badala yake atalala kifudifudi ama chali kabisa....
2. Eti Rais Magufuli;
".....ameiondoa jamii uongozi wa ULA RUSHWA, UMANGIMEZA, UKABILA na WA MAZOEA...."
Really? Really?
Rafiki kumbuka humu unajadiliana na watu usiowajua tena wakiwa wanakuzidi mambo mengi sana. Sikujui, lakini maandishi yako tu yameshanipa picha wewe ni mtu wa aina gani. Ni mtu bendera fuata upepo.....!!
Tena acha kabisa kudanganya watu hapa. Wengine tuko serikalini humo, tunajua mengi. Mambo ni very contrary kabisa na unavyojigamba hapa....
Nothing has changed. Corruption is there to stay from the White House to the root grass...
And the reason is just simple. Huyu mnayempaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumwimbia sifa za "Baal- Zebuli", anaendeshea serikali yake gizani....
Hakuna uwazi ndani ya serikali. Utasemaje kuwa ktk mazingira haya rushwa imekwisha?
Aisee, kwa propaganda hizi mnaweza kuwadanganya wenye akili kama zako tu, not full minded people...
All in all, kwa kuwalinganisha in terms of their strengths & weaknesses, no doubt that Tundu Lissu is far much better than John Pombe....
You can take or leave it. But, this is a bitter truth that you must swallow in....!!