Uchaguzi 2020 Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?

Uchaguzi 2020 Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?

Kuchukua dola huhitaji mtu mwenye sifa fulani maalumu fixed....

************
Kujibizana na watu kaliba yako ni kupoteza muda wangu. Ikiwa wewe tu huwezi kukamata mwanamke yeyote ukalala naye achilia mbali kumfanya kuwa mke.

Unaanzaje kupuuzia sifa za mgogembea nafasi nyeti kama ofisi ya Rais?

***********
John Pombe Magufuli wa CCM ni miongoni mwa viongozi wasio na sifa ya kuwa viongozi ktk nafasi ya Urais, lakini huyo yupo ni Rais....

Ni Rais kwa sababu, CCM hawakuangalia yale unayoyatazama wewe. Walihitaji kushinda uchaguzi, basi....

MANENO YA THOMAS SANKARA aliyekua Rais wa Burkinafaso na akaweka alama japo alikaa kwa muda wa miaka minne tu.

KULETA MAPINDUZI YA KWELI KATIKA TAIFA YAKUPASA KUWA NA AINA FULANI YA UWENDA WAZIMU

Dr. John Joseph Pombe Magufuli anachowachanganya walio wengi ni Jambo moja tu "HE IS BEYOND NORMAL STAFF" hafanyi kutimiza muda wake bali anatenda kuikomboa jamii yake iliyokua imetopea kwenye ULARUSHWA, UMIMI, UMANGIMEZA, UKABAILA NA UONGOZI WA MAZOEA.

************
Hivi ndivyo ilivyo mwaka huu 2020. Hatuangalii uanaharakati wa Tundu Lissu. Tunaangalia anaweza kutupa kura za ushindi?

ALIPOKUA KATIKA ZIARA YAKE NCHINI MAREKANI ALIULIZWA SWALI KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA

Tafuta ule mdahalo wake alafu utafakari kama unataka Tanzania ambayo ipo siku mwanao wa kiume atakuja na mwanaume akuambie kua baba huyu ndio chaguo la moyo wangu

NB
Unapotaka kuzungumza nami kuhusu siasa inabidi ujitafakari kwanza Mkuu kabla ya kuingia aibu?

Unasemaje? Umemalizaje hapo mwisho?

Kwamba, mtu akitaka kujadili na wewe siasa afanye nini? Ajipange sawasawa, right?

No way...!!

Absolutely sijaona chochote cha ajabu na cha ziada unachojua kuhusu siasa za Tanzania wewe....

Presentation yako ya hoja, unaonesha kuwa wewe ni "egomaniac"...

Mtu mpenda sifa, kujikweza na kujiinua ukidhani kuwa " unajua yote" na wengine hawajui lolote....

You are wrong, umepotea, huna thamani hiyo....!!

Hoja hii tu tayari imeshakutoa kwenye Kundi la weledi wa uchambuzi wa mambo ya siasa za Tanzania na kukuweka kwenye Kundi la "political propaganda mistress' "...

Na unajua wanapropaganda wa siasa ni watu wa namna gani;...

kwamba, waongo na wasio na facts, na kuokoteza mambo yasiyo na evidence ili kuwapaka rangi watu wao....

Back to the topic;

1. Unajaribu kulinganisha kuchagua wagombea ktk vyama vya kiaiasa na kuchagua mke/nchumbs. Kwamba mtu hawezi kuoa kichaa....

Jibu la hoja hii ni YES, so long as umempenda na kumuona ni asset kwako, hata mke kichaa aweza kupata mume na kuolewa....!!

Vivyo hivyo ktk siasa, kuweka mgombea, ni aidha umejiridhisha kabisa kuwa ni ASSET na siyo LIABILITY...

Narudia tena na hii ikae kichwani mwako, huhitaji sifa nyingine zaidi tu kuwa mgombea wako ANA USHAWISHI na ANACHAGULIKA....

Magufuli si KIONGOZI na hana qualities za UONGOZI lakini alikuwa na sifa ya kuchagulika ile 2015 ambazo amezipoteza hii 2020...

Kwa CCM, kama watamweka huyu tena mwaka huu, wajue wameweka LIABILITY.....

Aombe - pooo asisimame na Tundu Lissu. Ikitokea, basi this time badala ya kuomba kura kwa kupiga magoti, badala yake atalala kifudifudi ama chali kabisa....

2. Eti Rais Magufuli;

".....ameiondoa jamii uongozi wa ULA RUSHWA, UMANGIMEZA, UKABILA na WA MAZOEA...."

Really? Really?

Rafiki kumbuka humu unajadiliana na watu usiowajua tena wakiwa wanakuzidi mambo mengi sana. Sikujui, lakini maandishi yako tu yameshanipa picha wewe ni mtu wa aina gani. Ni mtu bendera fuata upepo.....!!

Tena acha kabisa kudanganya watu hapa. Wengine tuko serikalini humo, tunajua mengi. Mambo ni very contrary kabisa na unavyojigamba hapa....

Nothing has changed. Corruption is there to stay from the White House to the root grass...

And the reason is just simple. Huyu mnayempaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumwimbia sifa za "Baal- Zebuli", anaendeshea serikali yake gizani....

Hakuna uwazi ndani ya serikali. Utasemaje kuwa ktk mazingira haya rushwa imekwisha?

Aisee, kwa propaganda hizi mnaweza kuwadanganya wenye akili kama zako tu, not full minded people...

All in all, kwa kuwalinganisha in terms of their strengths & weaknesses, no doubt that Tundu Lissu is far much better than John Pombe....

You can take or leave it. But, this is a bitter truth that you must swallow in....!!
 
Huyu anasubiriwa na mahakama ya kisutu akumbane na kibano cha kukiuka masharti ya dhamana😂😂
 
Mkuu i think swali lingekuwq na kama Tundu lisu anaruhusiwa kugombea nafasi yoyote ya kiaiasa baada ya kufutiwa ubunge.
 
Halafu kuwe na mdahalo wa hao wote kwa pamoja.
Tena mdahalo uwe wa lazima sio hiari. Waendesha mdahalo wawe watu huru kabisa na ndio hapo mtakapo ona aina nyingine ya kutisha ya aibu zaidi ya ile ya kukaa uchi mbele ya wakwe
 
Unasemaje? Umemalizaje hapo mwisho?

Kwamba, mtu akitaka kujadili na wewe siasa afanye nini? Ajipange sawasawa, right?

No way...!!

Absolutely sijaona chochote cha ajabu na cha ziada unachojua kuhusu siasa za Tanzania wewe....

Presentation yako ya hoja, unaonesha kuwa wewe ni "egomaniac"...

Mtu mpenda sifa, kujikweza na kujiinua ukidhani kuwa " unajua yote" na wengine hawajui lolote....

You are wrong, umepotea, huna thamani hiyo....!!

Hoja hii tu tayari imeshakutoa kwenye Kundi la weledi wa uchambuzi wa mambo ya siasa za Tanzania na kukuweka kwenye Kundi la "political propaganda mistress' "...

Na unajua wanapropaganda wa siasa ni watu wa namna gani;...

kwamba, waongo na wasio na facts, na kuokoteza mambo yasiyo na evidence ili kuwapaka rangi watu wao....

Back to the topic;

1. Unajaribu kulinganisha kuchagua wagombea ktk vyama vya kiaiasa na kuchagua mke/nchumbs. Kwamba mtu hawezi kuoa kichaa....

Jibu la hoja hii ni YES, so long as umempenda na kumuona ni asset kwako, hata mke kichaa aweza kupata mume na kuolewa....!!

Vivyo hivyo ktk siasa, kuweka mgombea, ni aidha umejiridhisha kabisa kuwa ni ASSET na siyo LIABILITY...

Narudia tena na hii ikae kichwani mwako, huhitaji sifa nyingine zaidi tu kuwa mgombea wako ANA USHAWISHI na ANACHAGULIKA....

Magufuli si KIONGOZI na hana qualities za UONGOZI lakini alikuwa na sifa ya kuchagulika ile 2015 ambazo amezipoteza hii 2020...

Kwa CCM, kama watamweka huyu tena mwaka huu, wajue wameweka LIABILITY.....

Aombe - pooo asisimame na Tundu Lissu. Ikitokea, basi this time badala ya kuomba kura kwa kupiga magoti, badala yake atalala kifudifudi ama chali kabisa....

2. Eti Rais Magufuli;

".....ameiondoa jamii uongozi wa ULA RUSHWA, UMANGIMEZA, UKABILA na WA MAZOEA...."

Really? Really?

Rafiki kumbuka humu unajadiliana na watu usiowajua tena wakiwa wanakuzidi mambo mengi sana. Sikujui, lakini maandishi yako tu yameshanipa picha wewe ni mtu wa aina gani. Ni mtu bendera fuata upepo.....!!

Tena acha kabisa kudanganya watu hapa. Wengine tuko serikalini humo, tunajua mengi. Mambo ni very contrary kabisa na unavyojigamba hapa....

Nothing has changed. Corruption is there to stay from the White House to the root grass...

And the reason is just simple. Huyu mnayempaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kumwimbia sifa za "Baal- Zebuli", anaendeshea serikali yake gizani....

Hakuna uwazi ndani ya serikali. Utasemaje kuwa ktk mazingira haya rushwa imekwisha?

Aisee, kwa propaganda hizi mnaweza kuwadanganya wenye akili kama zako tu, not full minded people...

All in all, kwa kuwalinganisha in terms of their strengths & weaknesses, no doubt that Tundu Lissu is far much better than John Pombe....

You can take or leave it. But, this is a bitter truth that you must swallow in....!!
Naomba niiprint hii reply yako niiwekee lamination niitengenezee frame kisha niitundinlke ukutani!

Sio kwakua lipo la maana uliloandika bali ipo siku nitalipiga picha tena na kulitumia Kama ushahidi juu ya ninyi wafia SYMPATHY mtakavyokua mmeaibika.

KWA MAPENZI YAKO LIFIKIRIE OMBI LANGU TAFADHALI...
 
Wewe kuna kila dalili kuwa hujui siasa...

Lengo kuu la chama cha siasa chochote ni kushika dola...

Ndilo lengo la CHADEMA, ndilo lengo la CCM na vivyo hivyo CUF ama ACT Wazalendo...

Kuchukua dola huhitaji mtu mwenye sifa fulani maalumu fixed....

Kushinda uchaguzi unahitaji hata kichaa tu ili mradi ana ushawishi kwa watu, anachagulika....

John Pombe Magufuli wa CCM ni miongoni mwa viongozi wasio na sifa ya kuwa viongozi ktk nafasi ya Urais, lakini huyo yupo ni Rais....

Ni Rais kwa sababu, CCM hawakuangalia yale unayoyatazama wewe. Walihitaji kushinda uchaguzi, basi....

Edward Lowassa, honestly mwaka 2015 wala hakuwa hata na sifa wala mvuto wa kuwa viongozi Rais kwa nchi....

Ni mtu ambaye hata kujieleza tu kwa ufasaha kwa dakika 10 ingalau alikuwa hawezi...

Lakini CHADEMA, waliona kitu kingine chenye manufaa kisiasa kwao kuliko mvuto wake....

Na kitu hicho kilisaidia na wakashinda uchaguzi japo hakutangazwa na badala yake akatangazwa, Magufuli wa CCM....

Hivi ndivyo ilivyo mwaka huu 2020. Hatuangalii uanaharakati wa Tundu Lissu. Tunaangalia anaweza kutupa kura za ushindi?

Jibu ni NDIYOOOO kwa sauti kubwa....

Haijalishi kura hizi ni za "huruma" au kwa sbb "anapendwa tu". Tunachotaka ni ushindi....

By the way, Tundu Lissu is far better than John Pombe Magufuli kwa vipimo vyote...!!
lakini tatizo sio ushindi tatizo ni kutanganzwa kama umeshinda na wakisha kupiga goli la mkono baba mtakatifu atakuuita ukupe propanganda si unajuwa bila ya CCM kanisa Tanzania litakufa kwa lazima CCM iwepo madarakani utakatiwa chochote na mchezo unaisha
 
Mkuu i think swali lingekuwq na kama Tundu lisu anaruhusiwa kugombea nafasi yoyote ya kiaiasa baada ya kufutiwa ubunge.

Mantiki ya hoja hii haiko mbali na hiki unachofikiri...

Toa mawazo yako na wewe....

Mimi nimeuliza maswali tu, hata mimi naweza nisiwe na majibu ya moja kwa moja.....

Na mjadala huu uko wazi kwa kila mtu kuchangia mawazo yake kwa kadiri ya ufahamu/uelewa wake...
 
Naomba niiprint hii reply yako niiwekee lamination niitengenezee frame kisha niitundinlke ukutani!

Sio kwakua lipo la maana uliloandika bali ipo siku nitalipiga picha tena na kulitumia Kama ushahidi juu ya ninyi wafia SYMPATHY mtakavyokua mmeaibika.

KWA MAPENZI YAKO LIFIKIRIE OMBI LANGU TAFADHALI...

There you are again....

Sina tatizo na egomaniac intention yako. Just do it....

Lakini naweza kusema bila shaka kuwa, wewe hujaielewa mada yangu hii....

You are very nasty and dilusional eti kwa sababu tu ndani ya nilichojadili nimemlinganisha Tundu Lissu na Magufuli....!

Na ni kama unalazimisha shauku zako, mawazo yako na matamanio yako, watu wote wakubaliane nayo...

Mada yangu iko very flexible...

Inamhusu Tundu Lissu in case ataamua kweli kugombea uongozi aidha Ubunge ama Urais in relation to his current situation ya kukabiliwa na kesi mbalimbali...

Ndo nikauliza kisheria mtu anaweza elezeaje hapo? Kuna kupenya au kukwama kwa kuwekewa mapingamizi na kushindwa kufikia ndoto zake na adhima yake?....

Nini nafasi ya wapinzani wake hasa CCM kutumia situation hii kwa manufaa yao? Kivipi wanaweza kuitumia?

Na Tundu mwenyewe anawezaje kuikabili hiyo ili ndoto yake isicheleweshwe kama si kuyeyuka kabisa? Vipi kuhusu chama chake (CHADEMA)? Wwamejiandaa kumpigania? How?

Kwako wewe, I don't understand what have come over your head. I see as if you are slightly off the topic, umepanic kweli kweli......

By the way, Mimi sijui nani atakuwa kiongozi kuanzia katika locality yangu (diwani & mbunge) na Rais after election....

However, I can say my thought and I have said it....

Kwamba, I prefer Tundu Lissu to be the one. In my opinion he's is very presidential material...

Lakini katika hali hii itawezekana au haiwezekani?..

Sasa hebu jadili hili ktk msingi huo. Sikukatazi kumlinganisha na "mtu wako" kama unaye na kama ukitaka....

Wewe kuwa na mawazo huru ya mchambuzi wa kisiasa kweli kweli kama ambavyo umejinasibu toka awali....

Usijibane kwa mitazamo ya kulishwa na kukaririshwa kwa ajili ya "kutumika kipropaganda"....

Usiwe na jazba. Tulia. Eleza unachojua. Tumia elimu yako sawasawa kwa manufaa ya wengi humu....
 
USSR :
Lisu ni msaliti wa taifa bora akae hukohuko
[/QUOTE]
Mnamwogopa ndio maana mlitaka kumtoa barabarani mapema mkampiga marisasi lakini Mungu akamponya.
Yupo sasa anakuja mna mipango gani??
Jibu hoja!!
 
Tunae bingwa wa kufukuza corona nchini hatuhitaji manyang'au.
Acha kutumia majina ya watu wenye akili kuhalalisha ujinga.
Unaogopa nini??
Kama unamwamini mtu wako wacha apambanishwe na lawyer pro TAMLissu!!
 
Back
Top Bottom