Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Groceries ni items za nyumbani za kupika, usafi na za matumizi kama hayo mfano mboga mboga na matunda na vitu kama ketchup, sabuni, tissur n.k yani vitu vinavyoendana na hivyo.Kwa maana halisi japo wabongo tumeharibu maana
1. Grocery:- unanunua pombe na kwenda kunywea kwenu.
Yaani hunywei hapo, unaenda kunywea kwenu.
2. Bar = unanunua pombe na kunywea hapo. Unanunua na kunywa hapohapo.
3. Pub = Public = sehemu ambayo wakubwa wanakutana kunywa pombe ila watoto nao wanakuwepo (public). Kwamba watu wazima wanakutana na kunywa mitungi pamoja na watoto (ila watoto hawanywi) = Public Meeting.
Ila kibongo bongo TUMEHARIBU MAANA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
So grocery store sio sehemu ya kununua pombe bali ni sehemu ya kununua matumizi ya kawaida ya kila siku nyumbani.
Bar ni sehemu ndani ya hotel, restaurant au hata pub ambapo vinywaji ndio vinapouzwa. Yani kiujumla bar ni counter tu pale na sio jengo zima.