Ni Nini tofauti kati ya Guest house, Lodge, Hoteli na Motel?

Ni Nini tofauti kati ya Guest house, Lodge, Hoteli na Motel?

Groceries ni items za nyumbani za kupika, usafi na za matumizi kama hayo mfano mboga mboga na matunda na vitu kama ketchup, sabuni, tissur n.k yani vitu vinavyoendana na hivyo.

So grocery store sio sehemu ya kununua pombe bali ni sehemu ya kununua matumizi ya kawaida ya kila siku nyumbani.

Bar ni sehemu ndani ya hotel, restaurant au hata pub ambapo vinywaji ndio vinapouzwa. Yani kiujumla bar ni counter tu pale na sio jengo zima.
Napokea nondo za maana kabisa
 
Mambo ya bongo hayo watu wanadandia tu lugha za watu. Cafe ni kwaajili ya kifungua kinywa na cafeteria ni sehemu ambayo watu wanajipakulia chakula wenyewe.
Mbogo ajipakulie msosi mwnyewe mkuu? hata asome vipi yeye anaamini kushiba hadi abakize ndo atajua hapa sasa nimeshiba
 
Motor Vehicle + hotel= Motel, ni sehemu ya kulala na pia unaweza ukapark usafiri wako.
 
Majibu ushapata hamna kitu kinaitwa montell bwege wewe na usirekebishe ila ujue hakuna montell hata mtoto wa darasa la 5 atakushinda kwenye mtihani kwa hiyo lugha unaandika.
Na ukute we ni Baba wa familia huku kichwani una uji tu.
Heri uji mkuu nina mavi mtupu
 
Guest House ni ile ya kulala Masikini kama Mimi na Wewe, Lodge ni ile ya kulala ambao wanaanza sasa kuamka Kiuchumi, Hoteli ni ile ambayo wanalala Watu ambao tayari Uchumi wao wa Kimaisha umeshasimama (angalau wanajiweza) na Motel ni ile ambayo Wanalala Matajiri au Watu ambao Uchumi wao si wa Wasiwasi, wa Kubahatisha na wa Mawazo.

Nikiwa kama Mbobezi Tukuka wa Guest House zenye Mende, Kunguni, Mba na Mbu naomba niwaachie na Wengine waweze kuendelea tafadhali.
Mkuu lakini kuna mara moja moja huwa tunaenda semina tunalala hoteli au hujawahi kubahatika asee
 
-Hotel ni sehemu unayoweza kupata huduma ya chakula, vinywaji na maladhi kwa pamoja na huduma nyinginezo mfano huduma za utalii, kuvua kwa hotel zilizo kando ya bahari , SPA massage nk.
star(nyota)/hadhi ya hotel inapewa kulingana na huduma ya hotel kwa ujumla haiangaliwi majengo yake, hotel inaweza ikawa ghorofa lakini isiwe na hadhi yoyote.

Lodge hizi ni aina ya hotel zinazopatikana nje ya mji.

Motel hizi ni aina ya hotel zinatakiwa ziwe kwenye main road zinazo unganisha nchi, mikoa kwa ajili ya wasafiri na madereva. Mara nyingi zinatakiwa ziwe na kituo Cha mafuta karibu na huduma za service za magari

Guest house hizi zinatoa huduma ya maladhi tu.

Resort hizi ni aina ya hotel zinazopatikana pembezoni mwa bahari, ziwa au mto.

Maladhi! 😁😄😜

Wasomi wetu wa siku hizi mnakotupeleka mnapajua wenyewe, akiyamungu!
 
Restaurant:-a place where people pay to sit and eat meals that are cooked and served on the premises.

Cafeteria:- a restaurant in which customers serve themselves from a counter and pay before eating.

Cafe: - is a restaurant with limited food options and are more for coffee/tea and smaller snacks such as coffee cakes.
Canteen:- is a restaurant provided by an organization such as a college, factory, or company for its students or staff.
A lodge is a place that provides accommodation in exchange for payment often located in natural settings like forests, mountains, or near wildlife reserves, catering to travelers seeking a nature-focused experience.

A guest house is a private house offering accommodation to paying guests.

Motel:- is the Motor hotel and was initially designed to cater to motorists seeking convenient overnight accommodations. Motels are typically located along highways, making them easily accessible for travelers on road trips.

Hotels are the most common type of lodging establishments found in urban and tourist areas. They cater to a wide range of guests, including business travelers, families, and tourists ,provide more services.

Inn:-is a small hotel that people can find along a highway or countryside that provides lodging and food.

Bar: - Vinywaji kwa sana

Pub:Vinywaji+Foods

Glocery:-Kununua vinywaji(ni kama liquor store) kwa matumizi ya nyumbani.
 
Gest ni sehem unaulizwa shoow time au unalala
Lodge hauulizwi ukitoa ni kulala moja kwa moja hamna showtime pia quality inakuwa nzuri compare na guest
Hotel ina hadhi na vitu vingi vipo
Motel huwa sana nje ya mji ambapo panakuwa na gas station min supermarktt
 
Kwa ufahamu wangu Motel inapaswa kuwa kando au jirani na barabara kuu,Walengwa wake huwa ni Wasafiri na Vyombo vyao vya usafiri.Guest House na Lodge ni tofauti ya facilities,kwenye Lodge unatarajia zaidi ukulinganisha na Guest house.
 
Back
Top Bottom