Ni njia gani nifuate nimpate Jini?

Ni njia gani nifuate nimpate Jini?

Ninaweza kumpatia Jini na akahangaike nalo je wewe unazo pesa nikupatie hilo Jini? Mkuu kahtaan

Ninazo lkn nataka kujua wewe unayapata wapi haya MAJINI?

Au unataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia? Nikiomba Sample ntapata? Manake hakuna Bidhaa bila Sample.
 
Last edited by a moderator:
Wapi Yesu kadai kuwa yeye KAUMBA Vijini au Vibwengo?
Au wapi Yesu kasema Yeye ni Mungu?

Mbona nyie walokole Lzm muingie kila Uzi Kuchafua mazingira na haya mahubiri yenu yasio na mashiko?

We una habari Yesu maisha yake yote hakuwahi kuwa hata na chumba cha kupanga? Sasa km uyasemayo ni kweli ilikuwaje asijitafutie yeye hata nyumba ya kuishi aje akutajirishe wewe Mkazi wa Yombo vituka tena Mwafrika.?

Usipende kudandia mambo kama mc wa kitchen party mimi sijasema Yesu ni Mungu.....
 
Kama unataka jini fanya haraka pale kwenye beach ya Aghakan Hospital.Kuanzia saa saba usiku kaa chini ya mti wowote watakuja na utaongea nao.usiogope anaweza kuja kwa umbo lolote kama vile kuku paka mwanamke au mlinzi au mvuvi nk.Utajuta ukifanya kosa.Maeneo ya Lumumba kuna baa moja huwa anakuja jini mwanamke nyakati za usiku kuanzia saa tano uliza taxi drivers pale watakuonesha au barabara ya airport kuanzia banda la ngozi hadi vingunguti uliza walinzi maeneo hayo.
 
Kama unataka jini fanya haraka pale kwenye beach ya Aghakan Hospital.Kuanzia saa saba usiku kaa chini ya mti wowote watakuja na utaongea nao.usiogope anaweza kuja kwa umbo lolote kama vile kuku paka mwanamke au mlinzi au mvuvi nk.Utajuta ukifanya kosa.Maeneo ya Lumumba kuna baa moja huwa anakuja jini mwanamke nyakati za usiku kuanzia saa tano uliza taxi drivers pale watakuonesha au barabara ya airport kuanzia banda la ngozi hadi vingunguti uliza walinzi maeneo hayo.

Mkuu hao ni walevi pale Beach.
Watu wanatafuta MAJINI.

Sasa we inaonekana Ulilewa pombe ya moshi ukakaa chini ya mti akatokea Mlevi mwingine na kuuliza maswali ya Kipombepombe.
 
Hebu jaribu,ya nini kuandikia wino wakati unaweza copy na ku paste.Beach ya Aghakan haina walevu.
 
habari wana jf jukwaa la intelijinsia..

Eti nifate steps zipi ili niweze kumpata jini na je nikishampata nifate masharti yapi ili asitoroke..

Nb: Namtafuta jinni wa kusimamia biashra zangu pia tufanye mishe mishe za town

nawasilisha

nakushauri jifunze side effect zake au hasara zake mana usije ukalia kilio cha mbwa. Mfano; chakula chao hao ni damu iliokaribu nawe kama nduguzo au watoto.,
pia jaribu kujua faida za kuwa na yesu katika kupata mali
 
Kama umedhamilia kweli utampata tu,tatizo ni dhumuni lake na lako laweza pishana,
nakupa njia.
amka kila siku saa nane nusu usiku,washa udi ambao unapendwa zaidi na majini(kwailo nenda kawaulize wauza udi aina gani ya udi),kua peke yako sehemu au ndani ya chumba,fanya meditetation kwa kufocus kwa jini uku ukimpa wish zako,ni vema ukayajua majina yao,mana majina yana majina na majina yanabeba sifa zao,ivo kwakufanya ivyo utapata jini,kuwa strong na kua confidence,mana usije dhani jini litakuja kwapicha uitakayo wewe,linaweza ata kuja joka la ajabu,ukibugi utakufa au utachanganyikiwa kuwa kichaa,io ni warning na tahadhari.
 
Duh huu uzi umekuwa mgumu kweli kweli, inaonekana kuna watu wanajua majini kweli humu ndani
 
Tunapozungumzia majini hapo tunazungumzia mapepo (yaani mashetani) sasa nashangaa sana kuona mtu mwenye akili timamu anatafuta msaada wa kishetani wakati Mungu wetu anaishi hata sasa.

yawekana kijana hajui kaza na kusudi la shetani kwa mwanadamu

YOHANA 8:44 => Ninyi ni wa baba yenu ibilisi,
na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda.
Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo,
wala hakusimama katika kweli,
kwakuwa hamna hiyokweli ndani yake,
Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe,
kwasababu yeye mwongo na baba wa huo
 
Jini,sikiliza nikuambie,sio shetani. Jini,ghost,ni ule mvuke unaokuwepo kaburini baada ya mwili kufa na roho kuondoka. What you call kutengeza jini ni ile mental act unayofanya kuukusanya huu mvuke,etheric matter,na kutengeneza kiumbe,ambacho ndio unakiamrisha unavyopenda. Kuhusu shetani kuna belief kwamba zipo hizi roho mbaya zinazunguka duniani,na kwamba unaweza kuziita zikutumikie,for good or for bad.. Kuhusu mzizimkavu anavyosema ukimpa sh15 milioni atakuletea jini,hiyo hainipendezi. Mzizimkavu ayatumie hayo majini yake kumtajirisha,asichukue hela za wana jf. Kuhusu majini soma . Book of Abramelin of sacred magic. Kipo sacred-texts.com katika title ya grimoires. Indeed,ukisoma grimoires you will know all you have ever wanted to know about magic but was afraid to ask. Grimoires ni kitabu cha kazi cha wachawi. It is hand written. Kwa mchawi haitoshi kukisoma tu. Anakiandika kwa mkono wake. Halafu, Sananda anasema,mchawi anakuwa na magic wand,fimbo ya uchawi,ambayo anaiweka mdani yake tone moja la damu yake. Sananda,kwa wale wanaotaka kuuliza,ni Yesu,ambaye ameamua kuchukua muda kidogo kutueleza kuhusu wachawi na vituko vyao. Kuhusu majini na miti. Zipo roho zinatunza miti na kusaidia kurutubisha udongo,sio majini,ni roho zinafanya kazi ya Mungu. Pia zipo roho zinahusika na mawe.
 
Ha ha haaaaaa!!!!!!

ni uongo mtupu.

eti zipo roho zinatunza miti.

rejea maandiko kijana.

tunapokuwa kanisani tukiwaombea watu. mjini (mashetani) huja na kujitaja majina kwamba mimi ni Maimuna au Makata nk

jini (shetani) ni roho iliyo kinyume na mapenzi ya Mungu.
 
Back
Top Bottom