Ni njia gani nifuate nimpate Jini?

Ni njia gani nifuate nimpate Jini?

Habari wana JF jukwaa la intelijinsia..

Eti nifate steps zipi ili niweze kumpata jini na je nikishampata nifate masharti yapi ili asitoroke..

NB: Namtafuta jinni wa kusimamia biashra zangu pia tufanye mishe mishe za town

Nawasilisha


Vipi umeshapata JINI tayari au laa...?.
 
Jini,sikiliza nikuambie,sio shetani. Jini,ghost,ni ule mvuke unaokuwepo kaburini baada ya mwili kufa na roho kuondoka. What you call kutengeza jini ni ile mental act unayofanya kuukusanya huu mvuke,etheric matter,na kutengeneza kiumbe,ambacho ndio unakiamrisha unavyopenda. Kuhusu shetani kuna belief kwamba zipo hizi roho mbaya zinazunguka duniani,na kwamba unaweza kuziita zikutumikie,for good or for bad.. Kuhusu mzizimkavu anavyosema ukimpa sh15 milioni atakuletea jini,hiyo hainipendezi. Mzizimkavu ayatumie hayo majini yake kumtajirisha,asichukue hela za wana jf. Kuhusu majini soma . Book of Abramelin of sacred magic. Kipo sacred-texts.com katika title ya grimoires. Indeed,ukisoma grimoires you will know all you have ever wanted to know about magic but was afraid to ask. Grimoires ni kitabu cha kazi cha wachawi. It is hand written. Kwa mchawi haitoshi kukisoma tu. Anakiandika kwa mkono wake. Halafu, Sananda anasema,mchawi anakuwa na magic wand,fimbo ya uchawi,ambayo anaiweka mdani yake tone moja la damu yake. Sananda,kwa wale wanaotaka kuuliza,ni Yesu,ambaye ameamua kuchukua muda kidogo kutueleza kuhusu wachawi na vituko vyao. Kuhusu majini na miti. Zipo roho zinatunza miti na kusaidia kurutubisha udongo,sio majini,ni roho zinafanya kazi ya Mungu. Pia zipo roho zinahusika na mawe.

inamaana ukilima bustani au shamba ili uvune inabidi utambikie hayo majini ?
 
Back
Top Bottom