Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Sasa,mimi sitaki kubishana kuhusu majini,au malaika au shetani. Mimi sijawahi kumuona malaika au shetani. Mimi sina upeo unaoniwezesha kusema," Katika ukumbi huu wapo watu 100 na mashetani 20 au malaika 30.". Sio kama mimi nasema. Ndiyo ilivyo. Watoto wadogo wanaweza kuwaona fairies. Ndio chanzo cha fairy tales. Hao fairies ndio Nature Spirits ,ndio wanaotunza mimea na kurutubisha ardhi.,yaani wao wanafanya kazi hiyo pamoja na wewe unapolima bustani. Kwa hiyo wapo hao spirit biologists wanatunza mimea,wapo mineralologists wanafanya kazi ya rocks. Hapo juu umeöna nimekitaja kitabu cha Abramelin[ Abraham-.Merlin] jinsi ya kuwaita mashetani. Amesema mashetani wanaitwa vipi? Anasema tayarisha altare,weka sanamu,choma udi,mlete mtoto mdogo wa miaka mitano,umri kama huo thereabout. Mwambie aitazame altare,wewe usiitazame. I repeat,anasema wewe usiitazame,mwambie aitazame altare Halafu sali sala ya kumwita yule shetani,[anakupa majina ya wale shetani;shetani huyu kwa kazi,mwingine kwa kazi tofauti;na maboss wa mashetani ambao usiwaite kama kazi ni ndogo],mtoto umemwambia akimwona shetani amefika kwenye altare,akuarifu. Kwa hiyo kinachosemwa,boiled down to its essence,ni kwamba ukitaka kumwöna shetani ,umkamate mtoto mdogo ukajifungie naye chumbani. Yaani kama kuna jini,shetani,malaika,ghost-whatever,mtoto atamwona kwa urahisi kuliko wewe. Ni kama mimi mara nyingi nimewaita watoto kunisaidia kuweka voucher katika simu. Lakini siku hizi naona voucher ni user friendly.